Natangaza rasmi kugombea uenyekiti wa BAVICHA Taifa

simiyu.. Ritz.. taswira.... marcopolo..... nk

ujinga unawaandama.....------- zenu
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Ruksa kugombea maadam una vigezo vinavyotakiwa. Hata hivyo kwanini usisubiri chama kitangaze una haraka ya nini
 
maana wasasa ni masawe, wewe mwanadada umekuha kuwaje baada ya kubinuliwa na chama..nakujua unauwe wa kufikiri zaidi ya ujinga unaoouandika sasa..

Huyo mdada sikudhani anaweze kuwa mjinga hivi. Mkojo wa Jerry si mchezo
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Ndugu Marwa kila la kheri.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom