Natangaza rasmi kugombea uenyekiti wa BAVICHA Taifa

JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Mkuu kwani wewe ni mchaga au unatoka kaskazini???
 
Safi kamanda, kikubwa nachoweza kukushauri ni kufuata taratibu za chama, na uwe na busara, subira na Hekima kamanda.
 
Sasa Marwa , nawe ni mtu wa ajabu sana .Unatangaza nia JF ? Maana hapa si ofisi za Chadema .Pili una anza na mashaka makubwa .Unataka kugombea wewe una acha namba kwa maelezo zaidi .Nani akutaite na kwa sababu gani ? Maana hata Chadema hawawezi kukuytauta unatakiwa wewe uitafute ofisi ilipo na wakujue uanachama wako umekaa vipi usije kuwa kama Chitanda .


Wewe ni mnafiki na humtakii mazuri Bw Marwa, Ushauri wa ukweli ni kumelekeza namna ya kufika Tengeru akachukue form iliyo na saini ya mwenye taasisi. Cha mashaka ni sijui kama Bw, Marwa anatimiza masharti yote anayoyapenda huyo mwenye chama.
 
Karibu sana , fanya kampeni za kistaarabu , angalia katiba ya chama vizuri na fuata maelekezo ya chama chako , kumbuka kwamba huku cdm uongozi huombwa , haununuliwi , jihadhari na matumizi ya M - pesa , Tigo pesa n.k .
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Kila la heri mkuu,weka humu JF wasifu wako
 
Jipange na wengine tupo, ukikosa usianze kusema ukabila, udini na ukanda.. maana political failures wote huwa wanatoka na hiyo nyimbo ya Magamba..
 
jina langu ni john marwa,niko tarime mkoani mara,natangaza rasmi nitagombea uwenyekiti wa bavicha taifa katika uchaguzi huu wa chama unaoendelea ndani ya chama chetu,kwa maelezo zaidi 0713252990

hii si sehemu nyeti uwezi kurushiwa tofali.

Jaribu kukemea posho uone.
Jaribu kuutaka uenyekiti wa chadema taifa uone.
 
Back
Top Bottom