Natangaza rasmi kugombea uenyekiti wa BAVICHA Taifa

JOHN WA MARWA

Senior Member
Nov 16, 2013
100
61
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990
 
Karibu kijana na ni haki yako ila hakikisha unamkataa Shetani CCM kwa moyo wako wote na kwa akili yako yote.
 
Kila la heri Bwana Marwa. Unaweza kutujuza kwa ufupi ni nini kimekusukuma hadi unataka kugombea uenyekiti wa BAVICHA?
 
image.jpg Ujumbe kwa swahiba Ritz.....
 
Lakini pia mbinu hii imetumiwa na baadhi ya watu kutafuna pesa ya chama tawala!..amini amini nakwambieni watakao kupigia watakuwa wana ccm!
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Sasa Marwa , nawe ni mtu wa ajabu sana .Unatangaza nia JF ? Maana hapa si ofisi za Chadema .Pili una anza na mashaka makubwa .Unataka kugombea wewe una acha namba kwa maelezo zaidi .Nani akutaite na kwa sababu gani ? Maana hata Chadema hawawezi kukuytauta unatakiwa wewe uitafute ofisi ilipo na wakujue uanachama wako umekaa vipi usije kuwa kama Chitanda .
 
Marwa,

Ungeenda kwa "Mzee" hili zengwe unaloona hapa lisingekuwepo.
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Tarajia simu toka kwa Mwigulu au Nape soon...
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

tuwekee cv yako kwanza tuendelee kukuweka kwenye mizania
 
JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990
hapo kwenye red hayo maelezo si ungeyeweka humu tu

JINA LANGU NI JOHN MARWA,NIKO TARIME MKOANI MARA,NATANGAZA RASMI NITAGOMBEA UWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATIKA UCHAGUZI HUU WA CHAMA UNAOENDELEA NDANI YA CHAMA CHETU,kwa maelezo zaidi 0713252990

Mutani Marwa mbona unaniangusha! Si kuna kautaratibu ambako wala hutakiwi kufikiri sana na ungeweza kukatumia ili wapenda ukombozi wakuelewe! Hapa Mutani kwenye JF watakao kupa go ahead ni wanafiki wa C!
 
kwa maoni yangu naona kam vile umekosea!... watu kutoka CCM wataanza kukutumia pesa via tigo pesa... wakifanya hivyo tafadhari fauta hatua stahiki haraka iwezekanavyo... la sivyo they will use this to blackmail you... harakati njema...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom