Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!

Utapata kura yako tu maana Mwakyembe anapendwa hata na wapinzani huko Kyela,maana hata mkeo na wanao watakutosa.
Nenda katangaze nia ya kulima mpunga utapata au unataka kufungua kiwanda cha gongo?
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!
SI WEWE WALA ALIYEKUTUMA mwenye uwezo wa kuzuia wadau kutangaza nia zao hapa jf , KAFIE MBELE 1nani kakuambia JF inahusika na kupendekeza,kupitisha au kuchagua wagombea wa nafasi za uwakilishi kutoka vyama vya siasa???
hyo mibangikvutie kwa mkeo huko