Natangaza nia ubunge (2015)jimbo la Kyela kwa tiketi ya CHADEMA.

Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!

Hivi nia huwa inatangazwa humu.. tena kwa ID na sio jina kamili.. Uli NGALAMU jha kughu ughwe..!? Na mimi natangaza nia kugombea uraisi basi.. who cares..!?
 
Last edited by a moderator:
Ujage tu namimi natangaza kugombea usiwani kati ya kata hizi bujonde,ngonga au kyela mjini. Mungandalosyaga engamu jango
 
Naona kilugha kimetawala,nami ntaanzisha thread ya wairaqw wenzangu sasa,pamoja na hayo wazo zuri na umwombe Mwenyezi Mungu afya njema na uhai
 
Utapata kura yako tu maana Mwakyembe anapendwa hata na wapinzani huko Kyela,maana hata mkeo na wanao watakutosa.
 
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!

Nenda katangaze nia ya kulima mpunga utapata au unataka kufungua kiwanda cha gongo?
 
Pole ndugu yangu kyela yako labda ndo mwakyembe anapendwa , kule hilo jina skuizi ni historia washamsahau
Utapata kura yako tu maana Mwakyembe anapendwa hata na wapinzani huko Kyela,maana hata mkeo na wanao watakutosa.
 
Kila jambo ukiwa na nia linawezekana! Usimkatishe mtu tamaa kwani hata hao waliofika juu walianza hivyo hivyo! Mungu akutangulie mkuu Unaweza kwa jina la Mwenyezi Mungu subhanah uwataalah!!
 
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!

Karibu CHADEMA, chama ikikuona unafaa kuwawakilisha wanakyela utapita
 
Ndugu wanajamvi nimetafakari nimeona nitangaze nia nataka 2015(insaalah) niombe ridhaa ya wana kyela nigombee ubunge! Naomba ushauri wenu!

suala si kugombea ubunge tu unataka kuwafanyia nn wana kyela?? mpaka sasa umeona mapungufu gani na umehisi una uwezo sio kuamka asbui tu hujanywa chai njaa inakuuma unaona ukagombee ubunge!!!
 
nani kakuambia JF inahusika na kupendekeza,kupitisha au kuchagua wagombea wa nafasi za uwakilishi kutoka vyama vya siasa???

hyo mibangikvutie kwa mkeo huko
 
kijana karibu sana nyumbani , ujiandae vizuri kwa mapambano ya amani dhidi yangu , napima maji kwa mti kwanza kabla ya kutia miguu yote miwili , CDM DAIMA .
 
nani kakuambia JF inahusika na kupendekeza,kupitisha au kuchagua wagombea wa nafasi za uwakilishi kutoka vyama vya siasa???

hyo mibangikvutie kwa mkeo huko
SI WEWE WALA ALIYEKUTUMA mwenye uwezo wa kuzuia wadau kutangaza nia zao hapa jf , KAFIE MBELE 1
 
Back
Top Bottom