Natangaza nia songea mjini

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,010
Wanajf na watanzania wote,natangaza nia ya kugombea ubunge songea mjini kwa ticket ya chadema.nlitaka kufanya hvyo kwnye uchaguz uliopita lakin nlikuwa underage.kwahyo next election ntakuwa na 25 yrs.Naombeni ushaur wenu ili nimuangushe tembo nchimbi.Ndugu wanajf naomba kutoa taarifa

Leta maelezo ya kutosha yanayokusukuma

sawa.kwanza naguswa na maendleo ya hapa.ccm wamejtahd lakn hawana jpya tena.ukja huku ndo utastaajab manispaa haina stand,maji sehem kubwa hakna ,pia mji haujapangwa poa sana,na manspaa wanashndwa kuallocate resource vzuri.mdai posho(mp) wetu ha2on kama anadeals na hzo ishu kwa uzto unaostahl.meng yatakuja na ntatoa ilan yangu

kaza buti binamu majimbo yote yaliyoshikiliwa na ccm 2015 yapo wazi.
hamna cha cv wala nini kwani cv ya ngonyani pale tanga ni ipi?

Jipange sawa sawa ndugu yangu! Nadhani unamfaham mheshimiwa kwa fitina. Tutakuunga mkono ukionesha uelekeo mzuri.

Kwahiyo unataka ukamfuate hukohuko...

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/170045-namzimia-mbunge-huyu-wa-ccm.html

dah! Hapana bwana nataka nkawaklshe lakini n vzuri ili awe ananfundsha kanuni !

Jipange jipange jipange kisha anza kumwaga sera za vina vya maana.

Kijana nakuomba unisikilize!
Kama ww ni mfuatiliaji mzuri wa chaguzi zote zlzopta Songea mjini tangu enzi za Marehemu gama nazani ungevuta pumzi kidogo ukatuuliza kaka zako tulichoshuhudia ndani ya Jimbo la Songea mjini.
Binafsi niliingia Songea mjini mwaka 2004, wakati huo jimbo likishikliwa na Gama wakati huo mhasimu wake mkuu alikuwa Mbogoro ambaye kwa ufuatiliaji wangu wa karibu ndiye hasaa aliyekuwa anakubalika pale mjini.
Kilichomfanya Mbogoro akubalike Songea mjini ni Influence kubwa aliyokuwa nayo kwa vijana machachali wa Box2(Songea Boyz)
Ktk Chaguzi za 2005 na 2010 mbogoro amekuwa akiuza ushindi kwa NChimbi regardless of the extra effort that hav been provided wit Mbowe folliwed by Dr. Slaa. Bnafsi2005 nilshrk kumnad Mbogoro lakn end of the day akapenda hela zaidi kuliko sisi vijana tuliompigania. Kijana, my take is, just judge yoxlf if u think that iu r capable n eligible 2b a Leader and Representative of Songea constituence then avoid being colluptant then it is so obviously to win.
Chamsingi acha tamaa na uelewe kuwa frm the year 2015 Tz itaongozwa na Chadema na c viongozi vichwa nazi kama saahz!
Ndg zangu tunahtaji mabadliko!

Nyongeza ya hapo 2015 sio songea hata huku Namtumbo nachukua fomu CHADEMA. Mbona nchi yetu hii waliotutangulia tunaona walivyo makini sio kutumia jina la babu,mjomba au mkwe CCM wametia watanzania umasikini wa akili na mwili.

Back
Top Bottom