Natangaza nia jimbo Tunduru kaskazini

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Waungwana napenda kutangaza nia jimbo laTunduru kaskazini. wana CUF nawaomba mniunge mkono nagombea kwa tiketi ya CHADEMA. Jimbo la Tunduru lipo ktk lindi la umasikini. Nitatoa sababu za kugombea kwa siku za mbele na ilani. Napenda kuwasilisha
 
Back
Top Bottom