Natangaza kujiunga rasmi chadema leo tar 19.12.2013

Hongera mkuu, ni haki yako kidemokrasia uliyopatiwa kwa hisani chama cha mapinduzi.
 
wakuu nachukua fursa hii,kutangaza rasmi kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo.NIA yangu hii ya dhati inafuatia utafiti mkubwa nilofanya kwa vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini.MUNGU NISAIDIE KATIKA HARAKATI HIZI.nyamakonge o nyamakonge.

unakunywa gongo?
 
Mwigulu nchemba amlipua mbowe bungeni mda huu, ni kuhusu kumkataza joyce mukya kufanya kazi za kibunge alizopokea posho badala yake aende dubai "kwa kazi maalumu"
kwamba habari zilizotawala vichwa vya habari leo vimelichafua bunge isivyo halali badala yake mbowe ashughulikiwe kama mbunge binafsi.
Tazama video hapa chini.

lazima utakuwa umekalia kitu chenye ncha kali..
 
Karibu sana uamuzi uliouchukuwa ni mzuri wengine bado hawajakubali matokeo muda ukifika hata simiu yetu na lukosi tutakuwa pamoja kwa sasa bado wanakula ccm ila cku ikifika watalala cdm
 
katka mfumo dhaifu ambao umeshndwa kutatua kero za wananchi,unahtaji kulipwa buku saba kwa siku kuendelea kuwemo ndan ya mfumo huo ambao ni mzigo.lakn kama sio mtu wa buku saba,CDM ndo mahali pako.
 
hivi ni chama gani kimeshndwa kutekeleza ilani yake kwa kuwa na mawaziri MIZIGO? embu nikumbushe vle!
Hivi lowasa alikua na maana gani kusema serikali haifany maamuz magumu??
 
attachment.php

Hii ndo polisi wetu hutumia helikopta kwenda kuikamata!!!!!
 
Back
Top Bottom