Natangaza kujiunga rasmi chadema leo tar 19.12.2013

nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Messages
363
Points
225
nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined May 28, 2013
363 225
wakuu nachukua fursa hii,kutangaza rasmi kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo.NIA yangu hii ya dhati inafuatia utafiti mkubwa nilofanya kwa vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini.MUNGU NISAIDIE KATIKA HARAKATI HIZI.nyamakonge o nyamakonge.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
Mwigulu nchemba amlipua mbowe bungeni mda huu, ni kuhusu kumkataza joyce mukya kufanya kazi za kibunge alizopokea posho badala yake aende dubai "kwa kazi maalumu"
kwamba habari zilizotawala vichwa vya habari leo vimelichafua bunge isivyo halali badala yake mbowe ashughulikiwe kama mbunge binafsi.
Tazama video hapa chini.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
Utawala wa chadema na itakavyokuwa tanzania. God forbid.
WanaJF,

Ikitokea watanzania tumechagua chama cha CHADEMA kutuongoza katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo mwaka 2015, haya ndio yatakayo tokea ama hakika:

1. Serikali ya CHADEMA ndio itakuwa serikali pekee duniani kote kuruhusu kinywaji haramu aina ya GONGO kutumiwa na watu wake kwa kisingizio cha mapato ya serikali yataongezeka.

2. Seikali ya CHADEMA itafanya TANZANIA kuonekana nchi ya magoigoi, wazembe na vilaza hiyo ni kutokana na aina ya viongozi tutakao kuwa nao. Mfano ni: Lema, Sugu, Msigwa na Mbowe.

3. Kutokana na kukosa ubunifu wa vyanzo vya mapato vya serikali itakayokuwa madarakani (CDM), Watanzania tutarajie nchi yetu kuwa na madanguro (chanzo cha mapato ya serikali ya CHADEMA) na mambo mengineyo ya aina hiyo.

4. Kutokana na uhusiano mzuri kati ya CHADEMA na vyama vinavyo tetea ushoga duniani. Watanzania tutarajie nchi yetu kuwa na sheria ma sera za kutetea na kupigania mashoga.

5. Kutokana na kukosekana kwa uvumilivu na ustahimilivu wa kisiasa kati ya viongozi wa CHADEMA, Watanzania tutarajie mapigano makali kati yetu na nchi za jirani.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria
Saturday, 14 December 2013 ·

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.

"Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi," alisema.

Mitambo hiyo itakayotengenezwa na SIDO itakapouzwa itaiingizia mapato serikali pia wauzaji wa gongo watafanya biashara hiyo kwa amani tofauti na sasa ambapo wanaifanya kwa kificho na wakikamatwa fedha zote wananufaika polisi.

Dk. Slaa alisema hata suala la kukamata watu wanaotengeneza silaha linapaswa kuangaliwa upya kwani wanaokamatwa wakifanya kazi hiyo wangekuwa wanashikiliwa kwa muda na baadaye wanapelekwa katika kiwanda cha serikali cha kutengenezea silaha ili watuhumiwa hao wapeleke ujuzi huo huko badala ya kuwafunga jela.

Dk. Slaa alisema matatizo yote yanatokana na wasomi kutofikiri namna ya kuisogea nchi mbele kimaendeleo.

"Nchi hii imelala, imechoka sababu waliopewa madaraka wamelala, wamejisahau hawatambui kuwa wamepewa nafasi hizo ili kuwatumikia wananchi," alisema.
 
pipii

pipii

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
331
Points
0
pipii

pipii

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
331 0
Hongera sana, kina Mwigulu wasikutishe na kashfa zao za kutunga dhidi ya CDM. wanaojiunga CDM ni watu wenye misimamo yao sio wakurupukaji na wasio babaishwa na siasa za uzushi na uwongo kutoka CCM.
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,380
Points
1,195
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,380 1,195
Hongera, waambie na wengine.
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria
Saturday, 14 December 2013 ·

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.

"Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi," alisema.

Mitambo hiyo itakayotengenezwa na SIDO itakapouzwa itaiingizia mapato serikali pia wauzaji wa gongo watafanya biashara hiyo kwa amani tofauti na sasa ambapo wanaifanya kwa kificho na wakikamatwa fedha zote wananufaika polisi.

Dk. Slaa alisema hata suala la kukamata watu wanaotengeneza silaha linapaswa kuangaliwa upya kwani wanaokamatwa wakifanya kazi hiyo wangekuwa wanashikiliwa kwa muda na baadaye wanapelekwa katika kiwanda cha serikali cha kutengenezea silaha ili watuhumiwa hao wapeleke ujuzi huo huko badala ya kuwafunga jela.

Dk. Slaa alisema matatizo yote yanatokana na wasomi kutofikiri namna ya kuisogea nchi mbele kimaendeleo.

"Nchi hii imelala, imechoka sababu waliopewa madaraka wamelala, wamejisahau hawatambui kuwa wamepewa nafasi hizo ili kuwatumikia wananchi," alisema.
kwa wasio fikiri kwa kina mnaona kama porojo,lakini ukweli ni kwamba tunaua vipaji vyetu wenyewe! Kama mtu ana uwezo wa kutengeneza bomu la kienyeji,kwa nini asiruhusiwe kisheria chini ya ulinzi aoneshe ubunifu wake,hii itasaidia kuzuia uuzaji wa silaha nchini kwa sababu za kiusalama
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,784
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,784 2,000
Karibu kwenye meli ya ukombozi. Utakutana na vikwazo kama vya kina utaifakwanza & CO ila tambua kuwa hayo yote hayana budi kutukia ili kupata ukombozi wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
kebepa

kebepa

Senior Member
Joined
Dec 20, 2009
Messages
133
Points
195
kebepa

kebepa

Senior Member
Joined Dec 20, 2009
133 195
wakuu nachukua fursa hii,kutangaza rasmi kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo.NIA yangu hii ya dhati inafuatia utafiti mkubwa nilofanya kwa vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini.MUNGU NISAIDIE KATIKA HARAKATI HIZI.nyamakonge o nyamakonge.
Mkuu nakupongeza kwa kufanya uamuzi wa maana kabla haujaanza mwaka mpya! Karibu uongeze nguvu kwenye ukombozi wa pili wa nchi yetu.
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,914
Points
1,500
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,914 1,500
Karibu sana NYAMAKONDE katika chama cha ukombozi.Taifa halina budi kukombolewa dhidi ya hawa wakoloni weusi MACCM.Mungu akubariki sana kwa kuonesha uzalendo kwa nchi yako.AMEN
 
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
3,653
Points
1,225
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
3,653 1,225
Hodi ya chooni haihitaji karibu
 
N

Nathaniel

Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
84
Points
0
N

Nathaniel

Member
Joined Apr 9, 2012
84 0
Utawala wa chadema na itakavyokuwa tanzania. God forbid.
WanaJF,

Ikitokea watanzania tumechagua chama cha CHADEMA kutuongoza katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo mwaka 2015, haya ndio yatakayo tokea ama hakika:

1. Serikali ya CHADEMA ndio itakuwa serikali pekee duniani kote kuruhusu kinywaji haramu aina ya GONGO kutumiwa na watu wake kwa kisingizio cha mapato ya serikali yataongezeka.

2. Seikali ya CHADEMA itafanya TANZANIA kuonekana nchi ya magoigoi, wazembe na vilaza hiyo ni kutokana na aina ya viongozi tutakao kuwa nao. Mfano ni: Lema, Sugu, Msigwa na Mbowe.

3. Kutokana na kukosa ubunifu wa vyanzo vya mapato vya serikali itakayokuwa madarakani (CDM), Watanzania tutarajie nchi yetu kuwa na madanguro (chanzo cha mapato ya serikali ya CHADEMA) na mambo mengineyo ya aina hiyo.

4. Kutokana na uhusiano mzuri kati ya CHADEMA na vyama vinavyo tetea ushoga duniani. Watanzania tutarajie nchi yetu kuwa na sheria ma sera za kutetea na kupigania mashoga.

5. Kutokana na kukosekana kwa uvumilivu na ustahimilivu wa kisiasa kati ya viongozi wa CHADEMA, Watanzania tutarajie mapigano makali kati yetu na nchi za jirani.
tatizo unaandika ukiwa na msukumo wa kimahaba zaidi pasipo kufanya utafit, jirani zetu wa uganda pombe aina ya gongo (kwao wanaiita waraji) ni halali kabisa,huku kwetu bukoba /karagwe waraji japo serikali inaiita haramu polis,viongozi wa vijiji,kata,madiwan wabunge na wananchi kwa ujumla ndo kinywaji chetu cha kawaida.na inatengenezwa kwa uwazi mchana kweupe na viongoz wa vijiji na kata kama kawa
ida. kwahiyo hata kabla ya huyo slaa kuhalarisha kama alivyosema sisi tulishahalarisha tangu enzi na enzi.serikali inajikosesha mapato bila sababu yoyote.
 
Starehe Kitandani

Starehe Kitandani

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
651
Points
250
Starehe Kitandani

Starehe Kitandani

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
651 250
wakuu nachukua fursa hii,kutangaza rasmi kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo.NIA yangu hii ya dhati inafuatia utafiti mkubwa nilofanya kwa vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini.MUNGU NISAIDIE KATIKA HARAKATI HIZI.nyamakonge o nyamakonge.

Mawazo mazuri Kamanda!
 
chollemadulu

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Messages
210
Points
195
chollemadulu

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2013
210 195
Karibu chadema umeona mbali kamanda
 
faby

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
2,226
Points
1,225
faby

faby

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
2,226 1,225
Mwigulu nchemba amlipua mbowe bungeni mda huu, ni kuhusu kumkataza joyce mukya kufanya kazi za kibunge alizopokea posho badala yake aende dubai "kwa kazi maalumu"
kwamba habari zilizotawala vichwa vya habari leo vimelichafua bunge isivyo halali badala yake mbowe ashughulikiwe kama mbunge binafsi.
Tazama video hapa chini.
mkuu weka video
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,525
Points
1,250
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,525 1,250
Nakupongeza sana karibu Taifa kubwa
 
Forum statistics

Threads 1,324,624
Members 508,740
Posts 32,168,262
Top