NG'HOMBA YA BOCHE
Member
- Mar 29, 2013
- 27
- 7
Ndugu zangu wana JF na walio wapigania haki wa ukweli, nikiwa binadamu mwenye akili timamu na aliyekuwa kiongozi{wa vijana} na mfuasi mkubwa wa chama cha MAPINDUNZI nimeamua kuachana na siasa za chama hichi kikongwe nchini kwani kimepoteza uwezo wa kuongoza nchi.
Aidha uamuzi wangu umeangalia maslahi mapana ya mimi kama kijana kuendelea kukitumikia chama kinachoratibu na kushadidia MAUAJI ya raia wake ili tu kudhoofisha nguvu ya UPINZANI kwa lengo la kuvipaka matope vyama vya upinzani{rejea matukio ya MWANGOSI, MABOMU YA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA, kuteswa kwa ULIMBOKA, KIBANDA, Kutekwa na kuumizwa kwa wafuasi wa CHADEMA katika chaguzi ndogondogo za madiwani ie IGUNGA, MOROGORO na sehemu mbalimbali nchini}. uamuzim wangu unapata nguvu pia kutokana na rushwa zisizoisha ndani ya chama changu rejea chaguzi ndogondogo za madiwani zilizoisha juzijuzi ambapo maatukio kama kukamatwa kwa kiongozi kama MARY NAGU akigawa rushwa na rushwa zingine ndani ya chama changu hiki.
Kujiunga kwangu huku kutaambatana na utoaji wa siri nzito zinazofanywa na viongozi wa chama cha mapinduzi katika uhujumu wa vyama vya upinzani na namna viongozi wake wanavyobambikizia kesi RAIA wasio na hatia. Hatia hii nitaifanya kwa umakini na weledi mkubwa kwani najua njama nyingi za kuangamiza wanaokisaliti chama hiki na kutoa siri zao sehemu zingine.