Natangaza kuikataa CCM na kazi zake zote

Eisten uko sawa lakini hata jk mwenyewe hakumbuki hizo ahadi kama ulivyo tiririka.hii nchi inasikitisha.mm nawaona wakija huku ni kujirusha. na watoto wao wanasoma huku lakini matumizi yao kama watoto wa falme za kiarabu.msilie na posho za wabunge.kuna watu wanakula posho za hatari.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom