Natangaza kuikataa CCM na kazi zake zote

F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,058
Likes
5,779
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,058 5,779 280
Wakuu, Niliapa kumkataa shetani wakati naapa kuitii dini yangu, sasa leo natangaza rasmi kuikataa CCM na kazi zake zote; mimi na familia yangu na wanaukoo wetu tangu leo CCM hatuitaki tena; YATOSHA. Wana JF niungeni mkono kwa uamuzi wangu huu.
 
M

MLO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
157
Likes
24
Points
35
M

MLO

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
157 24 35
Hatuwezi kufanikiwa bila kuba kitu kimoja.
Nasikitika kuona mashimo shinyanga pia nawapapole wanamtwara kwa kupoteza mali mungu zao
 
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
464
Likes
328
Points
80
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
464 328 80
Vyama vingi vya nini chadema yatosha
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Sio kutangaza tu,chukua kadi y Chadema uwe mwanachama hai.Lakini zaidi ya yote nakupa pongezi nyingi,umefanya uamuzi mzuri.
 
D

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
2,347
Likes
474
Points
180
D

delako

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2012
2,347 474 180
Usiogope km hatutakuunga mkono bali tupe sababu za kuikataa!tuelezee kinaga ubaga,unapoikataa ccm na kila kitu je unakuwa wapi chama gan sasa?
 
Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,107
Likes
8
Points
135
Age
35
Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,107 8 135
pole sana kwa kuchelewa... kung"amua mambo.. kama ungekuwa pc basi wewe ungekuwa pentium 0, RAM ni 0.00001MZ

niambie umefaidika nini kwa miaka 51 ya uhuru chini ya serikali YA CCM kutoka kwenye madini??
ulikuwa umeridhika na jinsi raia wanavyolindwa na polisi huko mara, songea, iringa, morogoro
ulikuwa umeridhika na jinsi chaguzi zinavyoendeshwa??
ulikuwa umeridhika na kasi ya rushwa nchini (mapambano), na upataji wa haki makazini na kupata fursa
ulikuwa umeridhika na ahadi lukuki za jk 2010

AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---Juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi Computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa RAIS wetu,ni kwamba anafanya Wa Tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa Tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa Wa Tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia JK na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.

Ulikuwa umeridhika na mfumo wetu wa elimu wa 2 x 7=15?? wakati watoto wao wanafundisha 2 X 7=14??

Ulikuwa umeridhika na jinsi polisi wanavyowabambikia kesi raia wa kawaida??
................................................................................................................
..................................................................................................................

KARIBU.. TUPAMABANE ILI RASILIMALI ZILIZOPO ZITUME KWA WOTEEE.. KARIBU PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEE.....
 
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,498
Likes
27
Points
0
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,498 27 0
Siku zote na mambo yote yaliyotokea bado ulikuwa na imani na hao vichwa vya wenda wazimu? Bado cjaona haja ya kumwita hata mmoja wao mweshimiwa angali ni magaidi
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
43
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 43 135
Loooo, CCM, ni vigumu hatwa swala zako kusikilizwa ikiwamo.
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,425
Likes
7,520
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,425 7,520 280
Kibinafsi bado sijafikia hapo
kuna ninayoyakumbuka na ninayoyaona hata sasa.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,131
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,131 280
Hongera!popote mwaga sumu mkuu,mkoloni mweusi aondoke
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,469
Likes
1,728
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,469 1,728 280
Kuanzia sasa MAADUI wa MTANZANIA sio 'UJINGA na MARADHI,bali ADUI namba moja ni ccm, wa pili Polisi na watatu serikali. Sijui hata hii serikali iliapa kulinda katiba ipi maana sasa hakuna tena ulinzi kwa raia na mali zao.

Mtanzania Shiriki kikamilifu kuwaondoa hawa maadui watatu kwa kuapa kama ifuatavyo;

Mimi............................ naapa kuilinda nchi yangu Tanganyika na rasilimali zake na wananchi wote waliomo bila kuwabagua kwa misingi ya kidini, Rangi, Kabila na wala ukanda;
-Ndivyo Nitavyo fanya kwa msaada wa MUNGU

Naapa kuwa mwanachama mwaminifu kwa CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO
--Ndivyo Nitavyo fanya kwa msaada wa MUNGU

Naapa kudumisha maendeleo kidogo yaliyopatikana katika miaka 51 ya uhuru wa nchi yangu na kufanya kazi kwa bidii ili kujenga taifa jipya ambalo kwalo Rushwa haitakuwa tu ADUI wa haki bali ADUI wa Watanganyika wote ambaye atapigwa, kupingwa na kufukuzwa bayana na si kubadilishiwa jina na kuitwa TAKRIMA--Ndivyo Nitavyo fanya kwa msaada wa MUNGU

Naapa Kuikataa ccm na mawakala wake wote na njia zake zote sasa na hata milele--Ndivyo Nitavyo fanya kwa msaada wa MUNGU

na mengine ongeza.
 
kimanu

kimanu

Senior Member
Joined
May 31, 2013
Messages
196
Likes
5
Points
35
kimanu

kimanu

Senior Member
Joined May 31, 2013
196 5 35
pole sana kwa kuchelewa... Kung"amua mambo.. Kama ungekuwa pc basi wewe ungekuwa pentium 0, ram ni 0.00001mz

niambie umefaidika nini kwa miaka 51 ya uhuru chini ya serikali ya ccm kutoka kwenye madini??
Ulikuwa umeridhika na jinsi raia wanavyolindwa na polisi huko mara, songea, iringa, morogoro
ulikuwa umeridhika na jinsi chaguzi zinavyoendeshwa??
Ulikuwa umeridhika na kasi ya rushwa nchini (mapambano), na upataji wa haki makazini na kupata fursa
ulikuwa umeridhika na ahadi lukuki za jk 2010

ahadi - aliitoa akiwa wapi...
1. Kujenga reli mpya kutoka dar es salaam mpaka mikoa ya kanda ya ziwa - nzega, tabora
2. Mkoa wa tanga kuwa jiji la viwanda - tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya ziwa victoria - igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha ushirika mkoa wa shinyanga (shirecu) - shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya ardhi nchini - dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - kata ya mrijo, dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye ranchi ya misenyi - kagera
9. Kujenga uwanja wa ndege misenyi - kagera
10. Kupanua uwanja wa ndege bukoba - bukoba mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa kigoma - kigoma mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka uganda - kagera
13. Mikoa ya kagera, kigoma, lindi, rukwa na ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - kagera
14. Kuimarisha takukuru kwa miaka mitatu - kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko mv bukoba - kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - mwanza
19. Kuimarisha usalama ziwa victoria na ziwa tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - mwanza
20. Wilaya ya geita kuwa hadhi ya mkoa januari mwakani - geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko kilosa - morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa ziwa nyasa - mbeya mjini
24. Kujenga bandari kasanga – rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe kiwira - mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha pangani kuzama - tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka same mpaka kisiwani – kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya moshi - dar es salaam - same mkoani kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya same - same mjini
31. Kuboresha barabara za igunga - tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - kisesa magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - mbeya mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo hospitali ya taifa ya muhimbili (mhn) - hydom manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - musoma
36. Kulinda haki za walemavu - makete
37. Kujenga baabara ya njombe - makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - iringa mjini
38. Kujenga barabara musoma – mto wa mbu arusha - arusha
39. Kuanzisha jimbo la ulyankulu- shinyanga mjini
40. Kujenga barabara ya lami manyoni-kigoma – kaliua,tabora
41. Kukarabati barabara ya arusha moshi - arusha mjini
42. Kuboresha barabara ya handeni, kondoa, mpaka singida - dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa ziwa victoria - shinyanga-kahama kuunganishiwa maji - shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo novemba mwaka huu mkoani arusha – arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - busekera, wilaya ya musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa wilaya ya longido - longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya seregenti – ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - mbulu mkoani manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. Mwaka 2010-2015 - babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - iringa
53. Kuhakikisha isimani inapata maji ya uhakika - iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika hifadhi ya taifa ya ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote tanzania - iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - bunda, mkoa wa mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - kilolo, iringa
58. Ahadi kuisadia zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - kibandamaiti mjini zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya mnazi mmoja zanzibar kuwa ya rufaa - kibandamaiti mjini zanzibar
60. Kuisaidia zanzibar kila panapohitajika msaada - kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya mbambabay - ruvuma
62. Ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - mbambabay ruvuma
63. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa mbinga (mbicu) – ruvuma
64. Ahadi rais wa marekani barack obama kuimwagia misaada tanzania – ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-dar es salaam
66. Mtwara kuwa mji wa viwanda – mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - kibaha
68. Hospitali ya tumbi kuwa ya mkoa - kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - kibaha
---2005 alikuja na maisha bora kwa kila mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa watanzania,kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa rais wetu,ni kwamba anafanya wa tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa wa tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia jk na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.

Ulikuwa umeridhika na mfumo wetu wa elimu wa 2 x 7=15?? Wakati watoto wao wanafundisha 2 x 7=14??

Ulikuwa umeridhika na jinsi polisi wanavyowabambikia kesi raia wa kawaida??
................................................................................................................
..................................................................................................................

karibu.. Tupamabane ili rasilimali zilizopo zitume kwa woteee.. Karibu peopleeeeeeeeeeeeeeeee.....
yesu, maria ma yosefu!
 
babu musa

babu musa

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Messages
106
Likes
0
Points
0
babu musa

babu musa

Senior Member
Joined May 8, 2013
106 0 0
Kuliko kuwa ccm bora ubaki huna chama ccm kimejaa magaidi kimejaa mafisadi kimejaa kila aina ya uhovuuu
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,058
Likes
5,779
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,058 5,779 280
tena nitahakikisha nawabadilisha chama pia wazazi wangu ambao wana kadi zao wanazozitunza na kuzilipia walizopewa mwaka 1977 wakati CCM inaundwa. zoezi hili nalianza rasmi Tena ni mini ndiyo nilikuwa nawapa pesa za matumizi yao wao wanaenda kulipia kadi za uanachama.
 
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,076
Likes
808
Points
280
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,076 808 280
Tuko wote Usiogope kwa "Kuwa walio upande wetu ni wengi kuliko walio upande wao akiwemo Mungu"
 
Vivax

Vivax

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
394
Likes
44
Points
45
Vivax

Vivax

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
394 44 45
Mungu na vyama vyenu tangu lini?
Mungu gani ana kadi ya chadema au ccm .
Democracy maana yake -utawala wa wanadamu .sasa mungu anahusika wapi?
 
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
8,278
Likes
1,191
Points
280
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
8,278 1,191 280
Wakuu, Niliapa kumkataa shetani wakati naapa kuitii dini yangu, sasa leo natangaza rasmi kuikataa CCM na kazi zake zote; mimi na familia yangu na wanaukoo wetu tangu leo CCM hatuitaki tena; YATOSHA. Wana JF niungeni mkono kwa uamuzi wangu huu.
Pongezi kwa kutumia haki yako ya kikatiba na uhuru wako, ila hata hujagusia sababu za uamuzi wako. Kwa mtu aliyemkataa shetani na mambo yake anafafanua kwa kusema kwa mfano: shetani amenifanya kuwa mzinzi na mlevi, simtaki tena. Kwa ccm je ndugu?
 
pererge

pererge

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Messages
571
Likes
39
Points
45
pererge

pererge

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2012
571 39 45
Usiogope km hatutakuunga mkono bali tupe sababu za kuikataa!tuelezee kinaga ubaga,unapoikataa ccm na kila kitu je unakuwa wapi chama gan sasa?
mbona hapo sijaona ujenzi wa bandari ya bagamoyo?
 
pererge

pererge

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Messages
571
Likes
39
Points
45
pererge

pererge

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2012
571 39 45
pole sana kwa kuchelewa... kung"amua mambo.. kama ungekuwa pc basi wewe ungekuwa pentium 0, RAM ni 0.00001MZ

niambie umefaidika nini kwa miaka 51 ya uhuru chini ya serikali YA CCM kutoka kwenye madini??
ulikuwa umeridhika na jinsi raia wanavyolindwa na polisi huko mara, songea, iringa, morogoro
ulikuwa umeridhika na jinsi chaguzi zinavyoendeshwa??
ulikuwa umeridhika na kasi ya rushwa nchini (mapambano), na upataji wa haki makazini na kupata fursa
ulikuwa umeridhika na ahadi lukuki za jk 2010

AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---Juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi Computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa RAIS wetu,ni kwamba anafanya Wa Tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa Tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa Wa Tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia JK na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.

Ulikuwa umeridhika na mfumo wetu wa elimu wa 2 x 7=15?? wakati watoto wao wanafundisha 2 X 7=14??

Ulikuwa umeridhika na jinsi polisi wanavyowabambikia kesi raia wa kawaida??
................................................................................................................
..................................................................................................................

KARIBU.. TUPAMABANE ILI RASILIMALI ZILIZOPO ZITUME KWA WOTEEE.. KARIBU PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEE.....
Mkuu sijaona ujenzi wa bandari ya bagamoyo kwenye list, yenyewe ni kwa ahadi ipi?
 
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
607
Likes
192
Points
60
Age
20
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
607 192 60
Mungu na vyama vyenu tangu lini?
Mungu gani ana kadi ya chadema au ccm .
Democracy maana yake -utawala wa wanadamu .sasa mungu anahusika wapi?
Umesahau kuwa Mungu Amesema kupitia maandiko yake Matakatifu kwamba; ...MAMLAKA ZOTE ZATOKA KWAKE...TENA HAKUNA MAMLAKA CHINI YA NCHI ISIYOTOKA KWAKE? Je, unatambua kuwa, FARAO aliyewatumikisha NA KUWATESA WAISRAEL, mamlaka hiyo alipewa na Mungu kwa Kusudi la Mungu kuonesha Matendo na Uweza wake Mkuu kwa Israel na Mataifa yote? Ndivyo CCM ILIVYOPEWA MAMLAKA HAYO NA MUNGU ILI UWEZO NA NGUVU ZA MUNGU ZIDHIHIRIKE KWA WATANZANIA NA DUNIA NZIMA KWA NAMNA ATAKAVYOIFUNGUA BAHARI YA MATESO YETU WATANZANIA WAPITE, NA CCM AWAFUATE ILI AANGAMIZWE HUMO, NA IWE MWISHO WA HISTORIA YAKE KAMA FARAO WA MISRI NDANI YA RED SEA. AMEN
 
Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670