Natamani Zanzibar liwe Taifa huru

Sibishani na watanganyika mlopoteza dira
Hivi kumbe weye ulikuwa na mawazo ya kubishana shekhe?

kwa nini ivo?

Mie nalo fanya nikukuelekezenia njia iliyo nzuri ili mdumu katika Muungano wenu,

Twawapendeni atii. mtatusaidia kwa mengi bwana weee, Japo mnatutukana sana.
Msililie kuachwa kwenye muungano uliodumu miaka nenda rudi, siyo mambo mazuri, sipendi wala kfurahia nyie mjute

Wazazi wetu waliungana, sasa siye watoto mwataka tutengane si nkorofi kweli?

Acha hasira, mtashindwa vibaya, ebu niambie wewe unataka nini kwa mfano tukupe sasa hivi......
 
Back
Top Bottom