Annina
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 437
- 57
Kutokana na wizara nyingi kuwa na mwingiliano wa kimajukumu na kusababisha gharama kubwa zisizo za lazima wala tija kwa watanzania, natamani wizara hizo zivunjwe kabisa au ziunganishwe na wizara nyingine zinazoendana kimajukumu ili kuleta tija.
Kwa mfano wizara ya viwanda na biashara majukumu yake yanafanywa pia na wizara ya mambo ya nje (wana idara ya biashara),wizara ya kilimo (idara ya masoko) natamani wizara hii ivunjwe na idara zake ziunganishwe mambo ya nje na kilimo.Wizara ya Vitoweo na Wizara ya Maji na umwagiliaji ziunganishwe na Wizara ya kilimo, Wizara ya maendeleo ya jamii na Wizara ya kazi ama ziunganishwe au zivunjwe na idara zake zihamishiwe kwenye wizara nyingine zinazoendana kimajukumu, Wizara ya ardhi na miundombinu ziunganishwe nk nk