Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

Namaste Viper... Nimesha mtonya... bora hata ange pm... hata

hubby nikimwambia nimemkaribisha fellow jf member asingemaindi....lol

off thread: Hujanipa progress... anything new... au ndo unasubiri jina ya something new??
Shem, I watching ujue..... If you are chakachuaring am going to kukusemearing.......... Dont say I didnt warn you yoooooooooooo IGWEEEEEEEEEE!
 
Viper leo nipo briefly pal... kidogo sipo kivile... Something new na ku pm which hopefully utafayia kazi within a week.. Mfungo upo pouwan, inshallaha namshukuru Allah... Dah! kuhusu sports will have to start raising some interests.. maana i am the only person i know ambae sports imempiga chenga....lol.. Niambie vipi umesha master chess?? (Hii topic haina la ziada... i think we are allowed extra ingredients...lol)

dah! wacha nikupe habari... laptop yangu iliyokuwa na chassmaster ilipata virus ikabidi ni weke windows again.. chessmaster akaenda na maji .. ila nitaiweka tena lakini itabidi nianze moja! hapo ndipo napata uvivu...

poa sis nasubiria PM!

nakutakia ramadhan nje,a
 
Shem, I watching ujue..... If you are chakachuaring am going to kukusemearing.......... Dont say I didnt warn you yoooooooooooo IGWEEEEEEEEEE!

oh! ODM you great shem of mine...lol.. In fact i never do anything without permission/ knowledge of your hommie...

Viper is a good and genuine guy... hata doc ya ruhusa ina seal ya Sweetie, kuruhusiwa contact (from afar...lol)
 
Mchumba wako ni nani kati ya hao ili tujiandae kuwasuluhisha...mia.
<br />
<br />
mi nashangaa anataja jina tu bila kuuliza nani wa nani.akumbuke mchumba wa mtu sumu.itabidi dena amsi,wiselady,asprin na king'asti waje wanisaidie haiwezekani ninyang'anywe tonge mdomoni hivihivi.mia
 
dah! wacha nikupe habari... laptop yangu iliyokuwa na chassmaster ilipata virus ikabidi ni weke windows again.. chessmaster akaenda na maji .. ila nitaiweka tena lakini itabidi nianze moja! hapo ndipo napata uvivu...

poa sis nasubiria PM!

nakutakia ramadhan nje,a

Dah! Pole pal... (bahati yako hayupo EMT hapa, angekuuliza window ipi watumia)

Hata hivo usizidi chelewa... Ukisha weka kila kitu kita rudi in line... And worry not kuhusu 'new'... naku pm.
 
oh! ODM you great shem of mine...lol.. In fact i never do anything without permission/ knowledge of your hommie...

Viper is a good and genuine guy... hata doc ya ruhusa ina seal ya Sweetie, kuruhusiwa contact (from afar...lol)
I was not copied in..........So Very Unfair!
 
Shem, I watching ujue..... If you are chakachuaring am going to kukusemearing.......... Dont say I didnt warn you yoooooooooooo IGWEEEEEEEEEE!

wivu wa nini ndugu yangu? Jifanye kama hujaona bhana.
 
FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)

Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)

Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..

Samahani dear sinto kwenda out hii weekend
.......... :( ...........
 
Ukipata mimba, uishie huko huko!
 
Back
Top Bottom