Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,808
3,733
Tupeana maana ya hii picha?
20210919_131800.png
 
Hivyo visamaki vidogo ni wananchi(young africans fc) ili waweze kupambana na Papa(simba sc) inabidi waungane wachangishane mia mia kwenye vibakuli, at least wanaweza kugusa kamkia ka Simba. Tukutane kwa Nkapaa.
Uchafu wenu wa Simba na Yanga ndio uliotufikisha hapa TZ kuwa mikiani kwa viwango vya soka duniani.

Simba na Yanga zishushwe daraja la ligi kuu kabisa maana hazina mchango wowote kukuza soka la TZ.
 
Hahahahahaaaaa? Lakini ni perception tu.
 
Uchafu wenu wa Simba na Yanga ndio uliotufikisha hapa TZ kuwa mikiani kwa viwango vya soka duniani.

Simba na Yanga zishushwe daraja la ligi kuu kabisa maana hazina mchango wowote kukuza soka la TZ.
Team Work, Make The Dream Work 💪🖒
 
Kidole kimoja hakivunji chawa.

Mate samaki wadogo wakitengeza shape hua linakua irregular shape na sio regular-well defined shape kama hilo.
Well said mate🖒💪
Thanks for a nice explanation and don't stop to spread a positivity.
 
It's not bound to me it just happened, and can happen to anyone.

It appears I've revealed my disguise 😂
I know it can happen to anybody, but is a perfect fit for your personality.

Best of Luck mate😂.
 
Mate huoni hiyo ni computer generated Image?
Ndugu achana uhalisia au uhalali wa picha bali unatakiwa ujikite kwenye ujumbe uliobebwa na picha hiyo na ndio dhumuni la aliyeiandaa hiyo picha........

Kwa kifupi ni kwamba kwa mujibu wa hiyo picha ujumbe wake ni kwamba ushirikiano ni jambo la msingi kwenye kufanikisha au kuondosha jambo fulani.........
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom