Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,859
- 3,885
Tupeana maana ya hii picha?
Uchafu wenu wa Simba na Yanga ndio uliotufikisha hapa TZ kuwa mikiani kwa viwango vya soka duniani.Hivyo visamaki vidogo ni wananchi(young africans fc) ili waweze kupambana na Papa(simba sc) inabidi waungane wachangishane mia mia kwenye vibakuli, at least wanaweza kugusa kamkia ka Simba. Tukutane kwa Nkapaa.
Hahahahahaaaaa? Lakini ni perception tu.Hivyo visamaki vidogo ni wananchi(young africans fc) ili waweze kupambana na Papa(simba sc) inabidi waungane wachangishane mia mia kwenye vibakuli, at least wanaweza kugusa kamkia ka Simba. Tukutane kwa Nkapaa.
Hahaha... iliwahi tokea mchina mmoja aliweza kuizuia kifaru cha jeshi hadharani.... historia 1980sHio ni theory tu ila kiuhalisia haiwezekani. Ni sawa mseme Kwamba watu mia mkikusanyika mnaweza kuliziwia Caterpillar lisipite
Nipe maana kwanza?Mate huoni hiyo ni computer generated Image?
Unity is Strength🖒💪Umoja ni nguvu
Team work is a PowerMkiungana mnaweza kuangusha Mkuyu.
Team Work, Make The Dream Work 💪🖒Uchafu wenu wa Simba na Yanga ndio uliotufikisha hapa TZ kuwa mikiani kwa viwango vya soka duniani.
Simba na Yanga zishushwe daraja la ligi kuu kabisa maana hazina mchango wowote kukuza soka la TZ.
Well said mate🖒💪Kidole kimoja hakivunji chawa.
Mate samaki wadogo wakitengeza shape hua linakua irregular shape na sio regular-well defined shape kama hilo.
"You are special and Gifted one"Salute mate✌️✌️
Why would I?
It's my destiny!
I know it can happen to anybody, but is a perfect fit for your personality.It's not bound to me it just happened, and can happen to anyone.
It appears I've revealed my disguise 😂
Ok.HIYO NI PICHA TU .
HAINA MAANA YYT.
Ndugu achana uhalisia au uhalali wa picha bali unatakiwa ujikite kwenye ujumbe uliobebwa na picha hiyo na ndio dhumuni la aliyeiandaa hiyo picha........Mate huoni hiyo ni computer generated Image?
Majority rule and minority failed😂Nilivyoelewa ni kwamba wapumbavu wakiungana wanaweza