Natamani watu wapya!!!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
jamani,mimi si mtu wa dini sana lakini kuna wimbo huwa unani-impress..simjui mwimbaji,lakini mojawapo ya vipande vyake,ni pale anaposema 'natamani nchi mpya'-naomba kusahihishwa if am mistaken! sasa basi, tena nasema kwa msisitizo na sihitaji ubishi hapa; NATAMANI WATU WAPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hivi kweli rais wetu ana feelings/senses???? anao washauri??? ana marafiki wa kupiga nao stories??? anakaa na family yake wakijadili mambo??? ano ndugu??? if all answers are in affirmitive, KWA NINI NISITAMANI WATU WAPYA????????
 
Back
Top Bottom