Natamani Watanzania wengi tuwe kama Rugemalira

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,470
5,477
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa.

Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu ambaye pamoja na serikali kutaka kumfanya aonekane ni muhalifu, uwezo na ushawishi wake katika kufikia malengo yake ni wa kuigwa mfano.

Rugemalira kwa sasa amekuwa branded kama tapeli, mwizi na muhalifu jambo ambalo binafsi naweza sema kwamba ni kweli kwa mujibu wa mfumo wetu wa uchumi ambao ili mtu fanikiwe anatakiwa asubiri mshahara, aibe, au astaafu ndiyo apige hatua.

Huyu mzee Ruge alifanya jambo la kipekee katika historia ya nchi hii. Jambo hili nina hakika wafanyabiashara wengi wanalifanya. Jambo lenyewe ni la kutafuta fursa; kutafuta wenye mtaji, kuunganisha dili, kuisimamia na kuhakikisha inafanikiwa na kisha kuchuma faida na kuendelea na maisha.

Yeye aliona fursa ya kufua umeme, akatafuta wawekezaji, akatafauta wakopeshaji, akafanya kazi kama alivyotakiwa. Kulipotokea sintofahamu akafuata mfumo wetu wa kisheria mpaka akapatiwa haki yake. Ndiyo inawezekana kuna ujanja ujanja katika kuhakikisha anafanikiwa lakini tukubali kwamba huwezi kufanikiwa bila kuwa mjanja mjanja.

Ninawaombea vijana wote mjifunze kitu kizuri kwa huyu mzee mpambanaji ambaye pamoja na serikali kumuweka lupango bado focus yake iko kwenye pesa zake ambazo bado anadai huko duniani.

Wito wangu kwa Magufuli na serikali yake: Achaneni na huyu mzee maana hakuna hela aliyokula ambayo hakufanyia kazi. Kamata hawa ambao wanakula pesa za umma bila kibali cha Bunge kama kina..., na wale ambao utajiri wao ni wa mashaka kama kina....
 
Bwana Ruge alifanya deal halali zote, sema ndio hivyo. Em wamjaribu na Mtemi Chenge basi, ina maana wamekosa kabisa loophole.
 
Rugemalira anapambania haki yake, pia anazidi tukumbusha nasi siku zote tupambanie haki yetu kwa manufaa ya kizazi chetu, isiwe rahisi kuchukuliwa ulichokipambania iwe kwa njia ya kawaida au isiyo
 
Ruge anapambana na watu wenye Fikra za Nyerere kuhisi Umaskini ndio Uzalendo na uadilifu

Chanzo cha Utajiri wa Ruge aliekuwa Mfanyakazi wa BOT ni Mzee Ally Hassan Mwinyi

1992 baada ya Azimio la Kishamba kutupwa kule hapo ndio ukawa mwanzo wa Ruge

Kwny Kila Ziara za Mzee Mwinyi nje ya Nchi akajumuisha watu wenye akili Timamu kufuatana nae nje wakati huo moja ya Sharti la Uwekezajo ni kuwa na shareholder angalu mmoja Mzawa ambae atleast awe Shareholder by Guarantee ikitoke hana share za kuwekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mimi naunga mkono hoja, Mzee awe mfano wa kuigwa kwetu, smart na mpiga dili halali, ili mradi hela iingie hapa nchini.
Serikali muacheni huyo mzee, mbona Kangi yupo mtaani mpka sasa, na Rais kakiri dili alilotaka au alilofanya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa.

Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu ambaye pamoja na serikali kutaka kumfanya aonekane ni muhalifu, uwezo na ushawishi wake katika kufikia malengo yake ni wa kuigwa mfano.

Rugemalira kwa sasa amekuwa branded kama tapeli, mwizi na muhalifu jambo ambalo binafsi naweza sema kwamba ni kweli kwa mujibu wa mfumo wetu wa uchumi ambao ili mtu fanikiwe anatakiwa asubiri mshahara, aibe, au astaafu ndiyo apige hatua.

Huyu mzee Ruge alifanya jambo la kipekee katika historia ya nchi hii. Jambo hili nina hakika wafanyabiashara wengi wanalifanya. Jambo lenyewe ni la kutafuta fursa; kutafuta wenye mtaji, kuunganisha dili, kuisimamia na kuhakikisha inafanikiwa na kisha kuchuma faida na kuendelea na maisha.

Yeye aliona fursa ya kufua umeme, akatafuta wawekezaji, akatafauta wakopeshaji, akafanya kazi kama alivyotakiwa. Kulipotokea sintofahamu akafuata mfumo wetu wa kisheria mpaka akapatiwa haki yake. Ndiyo inawezekana kuna ujanja ujanja katika kuhakikisha anafanikiwa lakini tukubali kwamba huwezi kufanikiwa bila kuwa mjanja mjanja.

Ninawaombea vijana wote mjifunze kitu kizuri kwa huyu mzee mpambanaji ambaye pamoja na serikali kumuweka lupango bado focus yake iko kwenye pesa zake ambazo bado anadai huko duniani.

Wito wangu kwa Magufuli na serikali yake: Achaneni na huyu mzee maana hakuna hela aliyokula ambayo hakufanyia kazi. Kamata hawa ambao wanakula pesa za umma bila kibali cha Bunge kama kina..., na wale ambao utajiri wao ni wa mashaka kama kina....
Kiukweli ukiacha POROJO za siasa huyu mzee hana HATIA. Hata wote aliowapa pesa hawana HATIA.
 
Huyo hadi kesi ije kuisha atakuwa hana hata robo ya Mali alizokuwa nazo Kuna madili ya kupiga yasiyohusisha wanasiasa ila ukijihusisha na wanasiasa ipo siku utalia

Lakini hatakuja kamwe kuwa km level zetu means awe kapuku..never na usitegemee hilo...huyu utajiri ameshauraftia michirizi so hela bado zinafata mkondo
 
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa.

Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu ambaye pamoja na serikali kutaka kumfanya aonekane ni muhalifu, uwezo na ushawishi wake katika kufikia malengo yake ni wa kuigwa mfano.

Rugemalira kwa sasa amekuwa branded kama tapeli, mwizi na muhalifu jambo ambalo binafsi naweza sema kwamba ni kweli kwa mujibu wa mfumo wetu wa uchumi ambao ili mtu fanikiwe anatakiwa asubiri mshahara, aibe, au astaafu ndiyo apige hatua.

Huyu mzee Ruge alifanya jambo la kipekee katika historia ya nchi hii. Jambo hili nina hakika wafanyabiashara wengi wanalifanya. Jambo lenyewe ni la kutafuta fursa; kutafuta wenye mtaji, kuunganisha dili, kuisimamia na kuhakikisha inafanikiwa na kisha kuchuma faida na kuendelea na maisha.

Yeye aliona fursa ya kufua umeme, akatafuta wawekezaji, akatafauta wakopeshaji, akafanya kazi kama alivyotakiwa. Kulipotokea sintofahamu akafuata mfumo wetu wa kisheria mpaka akapatiwa haki yake. Ndiyo inawezekana kuna ujanja ujanja katika kuhakikisha anafanikiwa lakini tukubali kwamba huwezi kufanikiwa bila kuwa mjanja mjanja.

Ninawaombea vijana wote mjifunze kitu kizuri kwa huyu mzee mpambanaji ambaye pamoja na serikali kumuweka lupango bado focus yake iko kwenye pesa zake ambazo bado anadai huko duniani.

Wito wangu kwa Magufuli na serikali yake: Achaneni na huyu mzee maana hakuna hela aliyokula ambayo hakufanyia kazi. Kamata hawa ambao wanakula pesa za umma bila kibali cha Bunge kama kina..., na wale ambao utajiri wao ni wa mashaka kama kina....
Natamani niongeze kitu hapa ile Nimefurahi kwamba Mzee ameendelea kuthibitisha umahiri wake katika kupambana kwa kusimama mpaka mwisho.

Hongera sana kwake.Tunaendelea kujifunza.
 
Rugemalira anaongoza mpaka sasa kwa goli 4 huku serikali ikipata goli moja tu la kufutia machozi.

Singasinga atajilaumu sana bila shaka kwa kukubali mapema kuweka mpira kwapani.
 
Back
Top Bottom