TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Wanabodi salamu,
Kwangu mimi chaguo langu la nafasi ya ukatibu ndani ya chama pendwa CHADEMA ilikuwa ni mbunge wa singida mashariki mh. Tundu A Lissu.
Huyu jamaa anajua sana kuwabana maccm kiasi kwamba wanamtafutia kila zengwe ili mradi komdhoofisha.
Anakubalika sana na jamii na wafuasi wa chama kwa ujumla.
Ni mwanasheria kitaaluma hivyo chama kitaendeshwa kiweredi tofauti na mashinji.
Udhaifu uliopo kwa sasa ndani ya chama anaujua na anaweza kupambana nao tofauti na mashinji.
Alipambana ndani ya chama hivyo alifanikiwa kukifikisha chama hapa kilipo tofauti na ndugu mashinji sijui kipindi hicho alikuwa wapi.
Pia Tundu lissu tofauti na katibu w sasa, hana makundi kwa maana anakubalika na watu wote ndani na nje ya chama.