Ni katika kipindi hiki Watanzania wenye kiu ya maendeleo wakiweka matumaini makubwa kwa Rais wao kuonyesha dira na dhamira ya kweli katika suala la Maendeleo ambalo pia watendaji wasimamie masuala ya kiutendaji kuliko kufanya kazi za siasa! Kuvxhanganya siasa na utendaji kutaleta ubaguzi ambao utaleta mvutano na hatimaye kuzoretesha Maendeleo yaliyotarajiwa!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanzania!