Natamani sana Siku moja Rais Samia Suluhu nae azisikie hizi nyimbo za Singeli na 'Matusi' yao kisha amalizane rasmi na BASATA

Mama Samia hua anasikiliza wasafi Radio na kuangalia Wasafi Tv...

Kuna siku Radio fulani nadhani Dj alijisahahu ile nyimbo ya singeli aliyoweka ilikua inakiitikio cha...

Nipe Mku*** Nipe Mku*** baada ya muda na station yenyewe ikazimika yote...
 
Simba kachachawa anataka msambwanda kwa buku jero....
Ina ma nisafishe mtaro.....
Ifinyie kwa ndani.....
Baba chanja baba chanja eeh sjui nini kulaaa
Usishangae geto ukamkuta yo sister akichuma mchicha yani mboga na kumfidele bila uoga
Hii mistari ya hawa waimba singeli ni balaa kwa kwel
 
Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.

Maudhui ya Kimatusi ya Msanii
A

"Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake "

Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B

"Oyayaaa Ndizi Tamu ikikatikia ndani ya Mdomo mpana na Mlaini "

Maudhui ya Kimatusi ya Msanii C

"Raha ya Flashi ichomekwe vizuri katika tobo na ikatikie kwa ndani "

BASATA sioni sababu ya Kuwafungia Wasanii Wakweli kama Dudu Baya au kuwaonya Wawazi akina Afande Sele huku hawa wa hizi Nyimbo za ' Singeli ' mkiwaacha, mkiwachekea na mkiwadekeza pia.

Na sijui TCRA mpo wapi hadi mnaviachia hivi Vyombo vya Habari ( hasa Redio ) Maarufu hapa Mkoani Dar es Salaam zinapiga ( tena wazi wazi ) kabisa hizi Nyimbo ambazo zote zimejaa Tafsiri ya Matusi tupu yenye Athari Kubwa kwa Watoto wetu na Vizazi vijavyo.

Natamani sana Siku Moja tu Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan nae kwa bahati mbaya tu akiwa Kwake Ikulu azisikie hizi Nyimbo za Matusi za hawa Wasanii wenu wa ' Singeli ' kisha aweze Kuwazingua kama nyie aliowapa dhamana ya Udhibiti mlivyomzingua labda mtaelewa.
Tatizo ni akili yako, sio waimba singeli
 
Mkuu, pambana tu na maisha. Sasa hivi ni uhuru wa manyani. Ukitaka maadili yalindwe unaonekana mshamba na dikteta kama bro Magu. Huyo mama unayesema asikilize huenda anazisikia mara nyingi kuliko wewe.

Aliposema "nasikia mmezifungia" ilhali yeye ndiye alikuwa namba mbili hiyo nayo ilikuwa singeli tosha. Na ndiyo sababu akamfuta kazi yule bosi "mshamba" wa Tcra aliyekuwa anafungia tv zikiwarusha akina gigi mane wakifanya mambo ya aibu jukwaani.

Narudia, sasa ni uhuru wa manyani. Wewe ilinde tu familia yako na wale uwapendao.
 
Tuache kubisha ukweli nyimbo za sasa nyingi ni matusi matupu tunasahau kama sisi ni waafrika tunataka kuishi na maadili ya watu weupe vipo vya kuiga ila sio kila kitu tafsida wanazotumia ni nyepesi mno hata mtoto wa chekechea anaelewe ni maoni yangu
 
1. Ninakiri kuwa ninazichukia saana nyimbo za Singeli.

2. Ninakiri kuwa kipindi chetu cha ujana, HIP HOP ilionekana uhuni, bila akina 2 Proud aka MR II, kukomaa isingekuwa hapa.

3. Ninakiri kuwa kizazi changu sasa ni watu wazima na singeli ni uhuni kwetu.

4. Ifikie mahala tukubali kutokukubaliana na kila mtu awe na uhuru bila kuvunja sheria za nchi.

5. Huwa tunasikia na kuona vile tunavyopenda kusikia na kuona, Sisikilizi Singeli wala sitazami singeli. Huo ni mtazamo wangu, japo sioni ulazima wa kufungiwa Singeli kwani zina walaji wake.

Serikali badala ya kufungia kila kitu, ijaribu ku regulate, kwani zile RATINGS kazi yake nini?
 
Mkuu, pambana tu na maisha. Sasa hivi ni uhuru wa manyani. Ukitaka maadili yalindwe unaonekana mshamba na dikteta kama bro Magu. Huyo mama unayesema asikilize huenda anazisikia mara nyingi kuliko wewe.

Aliposema "nasikia mmezifungia" ilhali yeye ndiye alikuwa namba mbili hiyo nayo ilikuwa singeli tosha. Na ndiyo sababu akamfuta kazi yule bosi "mshamba" wa Tcra aliyekuwa anafungia tv zikiwarusha akina gigi mane wakifanya mambo ya aibu jukwaani.

Narudia, sasa ni uhuru wa manyani. Wewe ilinde tu familia yako na wale uwapendao.
Acha uongo wewe
Magufuli ndio alimpigia msanii Mwana FA simu na kumuambia anapenda nyimbo yake ya Dume Suruali kisha akasema kabisa anapenda mstari unaosema 'nikuhonge kwa nini kwani ina Tv ndani?'

Magufuli alikuwa mfauatiliaji na shabiki wa kipindi cha Shilawadu kilichokuwa na maudhui mengi yanayohusu ngono

Magufuli alikuwa mpenda Singeli na kipindi cha kampeni zake alikuwa akitumia na kucheza na wasanii wa singeli

kipindi cha Magufuli ndio Tv ya wasafi ilifungiwa lakini ni kipindiu hichohicho ilifunguliwa tena (February 28) sio Samia aliifungulia

Magufuli alikuwa ni mtu wa kutamka matamshi mengi hadharani yenye viashiria vya ngono kama viloe 'Mnataka kupanuliwa wapi'

Mifano ipo mingi ila wacha niishie hapa,
 
Back
Top Bottom