Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Aisee, ila kiufupi kila mtu hutamani kile ambacho hana.
Nimewasikia wanaume wengi wa Kikristo wakitamani ndoa za Kiislam (nafasi ya kuoa wake wengi) na wanawake wengi wa kiislam wakitamani ndoa za kikristo (mume mmoja).

Nb;- Kumbuka siku zote 'Grass is greener on the other side'

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa wake wengi hiki kitu huwa sikubaliani nacho. Kwa sababu tu huwa ni ngumu kutenda haki sawa kwa kila mke na watoto ulionao. Hapo ndio shida zinapoanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuuliza maana ya Ukristo sikukuuliza maana ya Kristo.
Kwa kujitia kwako kiherehere kwamba unajua sana ukajibu Kristo na Ukristo.
.
Nikaamua kukupa maana kamili ili nisikuache upotee.
Huwezi kuulizwa maana ya Bethlehem au Nazareth ukajibu ni (Nomino) huu ni ujinga wa madrasa.
.
Sisi ni wafuasi wa Kristo na tunafuata mafundisho yake, hakuna mahala Kristo alitutaka tusioe
Umeanza kupaniki bro .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuuliza maana ya Ukristo sikukuuliza maana ya Kristo.
Kwa kujitia kwako kiherehere kwamba unajua sana ukajibu Kristo na Ukristo.
.
Nikaamua kukupa maana kamili ili nisikuache upotee.
Huwezi kuulizwa maana ya Bethlehem au Nazareth ukajibu ni (Nomino) huu ni ujinga wa madrasa.
.
Sisi ni wafuasi wa Kristo na tunafuata mafundisho yake, hakuna mahala Kristo alitutaka tusioe
Ni wewe ulisema eti Yesu hakuoa kwa kuwa yeye si waulimwengu huu!.

Nami nikakuonesha kuwa hata wafuasi wa Yesu pia si waulimwengu huu kama lisemavyo andiko.

Sasa jibu swali langu nililokuuliza"KWA NINI WEWE UNAOA KINYUME NA YESU MWENYEWE NA WAFUASI WAKE?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukristo una sheria kama hizo?
Nionyeshe Yesu Kristo alikofundisha tuwauwe wazinifu kama hakupo kaa kimya
Yesu alisema hivi juu ya SHERIA:-

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Mathayo 5:17

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
Mathayo 5:18

19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 5:19


Unanipata vizuri lakini bro?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point pekee
Kwanza Kuna limit wake 4 tu sio zaidi

Tamaa ya mwanaume sio 4 tu ila zaidi yaani idadi haieleweki.

Nikujifariji tu, fanyeni research muone kama wanaume huridhika wakifikisha wake 4 ndo baasi.

Akipita mnene macho kodo

Mrefu macho kodo

Mwembamba macho kodo

Mwenye nywele nzuri macho kodo

Mwenye kiuno kizuri macho kodo

Mwenye sauti na mwanya mzuri macho kodo

Nafsi zetu huwa zinaficha mengi na midomo yetu bila aibu hunena unafiki uliotukuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom