Natamani sana Mtanange kati ya Mnyika na Zitto jimbo la Ubungo

Zitto kazima ashinde kwasababu jimbo la ubungo wachaga wengi wako ubungo, kimara na mbezi maeneo mengine yote yaliyobaki hakuna wachaga (magomeni, manzese, sinza, mabibo, chuo kikuu et
c kote huko zitto atafunika)

Huna hoja
 
Zitto kazima ashinde kwasababu jimbo la ubungo wachaga wengi wako ubungo, kimara na mbezi maeneo mengine yote yaliyobaki hakuna wachaga (magomeni, manzese, sinza, mabibo, chuo kikuu etc kote huko zitto atafunika)

We nae kumbe mpuuzi eeeeeh???
 
....msaliti akija anakalishwa tu,mjini watu wanajielewa,achague kijiji ambacho atawadanganya...
 
Kama Zitto aliponea chupuchupu huko Mwandiga kwa walugaluga wenzie akina Kalumanzira ataweza jijini, tena jimbo la wajanja Ubungo!! Amuulize Nape Nnauye alishindwa kuchomoza hata kura za maoni. Ayatola huko Mwandiga aliambulia udiwani kata moja tu na ushindi wa kura za kupima kwa kijiko wakati Mnyika alimzunguka yule mama mara tatu ya kura alizopata
 
Huyo nuru& taswira ya ACT ameloose had uwezo wa kujenga north kigoma kamkimbia dr yaredi halafu anajifanya anapendwa kwenye majimbo mengine.
 
Kabala haja haia act hakulia ila mmeanza kulia subirin mpate cha moto! Pokeeni chama sio kulaum ndo uwezo wa watanzania wa kuunda vyama hata usa ina vyama ving
 
Back
Top Bottom