musa abel jr
Member
- Oct 12, 2016
- 39
- 57
Habari wana JF, mm ni kijana wa kiume mwenye miaka 23 nimemaliza chuo mwaka 2019 huko jijini Dar es Salaam katika chuo fulani hivi cha afya kada ya fundi sanifu wa madawa (pharmaceutical technician), baada ya kumaliza nikarudi home mimi Shinyanga ambapo wazazi waliweka makazi huku na kuendelea ana maish
Sasa ili kufupisha story naomba msaada natamani sana kutoka nyumbani na kwenda kujitegemea na sijui naanzaje kutoka hapa nyumban
Pili leo asubuhi nimeamka na wazo la kuchukua vyeti vyangu na kuanza kuzunguka maeneo ya hapa Shinyanga kutafuta ajira lakini kila nikiwaza naona kama vile nitakosa tu
Naomba ushauri wenu juu ya haya mambo mawili
1. Jinsi nitakavyotoka hapa kwa bi mkubwa
2. Nianzie wapi na jinsi ya kuanza kuzunguka kutafuta hiyo ajira kwenye baadhi ya pharmacy na dispensary