Natamani sana kupata hata mtoto mmoja tu

Hali yako ilikubadilisha mawazo na ukakata tamaa mapema ukajiingiza kwene mahusiano ya wamama watu wazima wasokuwa na uwezo wa kuzaa, muda ulotumia labda ungefanyiwa uchunguzi kama ni tatizo la kutibika ungeshapona......ako kabinti mmezinguana maana umejua mnaelekea mahali katataka kuzaa!
Umenunua vifukulio vipya nini???? Maana dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu kuwekana wazi kama una tatizo ili kuepuka usumbufu wa kubambikiana watoto.
Wengi na tena 98% ya wanaume hawawezi kumwambia mwanamke mapungufu kama ayo unakuta ana stress, kisirani, kumpiga mkewe eti hazai, nafikiri akiwaza kuwa mkweli anahisi lazima ataachwa, basi anabaki kutumia nguvu na kumuumiza mwenzie
 
Wanawake wenyewe wako wapi wakuwekana wazi yaani mkivurugana tu utayakuta kwa jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo jingine ni unaangalia sana watu wa nje, kwa watasema nini, ukiishi maisha yako halisi huwezi kuendeshwa na dhana ya jamii itasema nini au majirani watasema nini.
Tungekua tunaishi bila ya kuwaza eti fulani au wakina fulani watachukuliaje au kusemaje, kungekua hamna abortions na matatizo mengi ya sonona katika jamii zetu.
 
Wengi na tena 98% ya wanaume hawawezi kumwambia mwanamke mapungufu kama ayo unakuta ana stress, kisirani, kumpiga mkewe eti hazai, nafikiri akiwaza kuwa mkweli anahisi lazima ataachwa, basi anabaki kutumia nguvu na kumuumiza mwenzie
Nikweli ila ni approach moja mbovu sana.
 
Bado sijaoa na huyo mwana mke yupo Iringa na mimi nipo Dar kwa saa,,,na nimeokoka tarehe25 mwezi uliopita baada ya kuudhuria mkesha wa cristmass Mchungaji alisema atakae kubali kuruhusu Yesu azaliwe moyoni mwake atambadilisha maisha yake na kufuta historia mbaya ya maisha ya nyuma atamfanya kuwa mpya nikaona isiwe kesi wacha nimkubali tu Huyu Yesu huwenda atatenda na kwangu pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahah kwa jinsi ulivyo type huku kuokoka ni kwa mwendo kasi
 
Bado sijaoa na huyo mwana mke yupo Iringa na mimi nipo Dar kwa saa,,,na nimeokoka tarehe25 mwezi uliopita baada ya kuudhuria mkesha wa cristmass Mchungaji alisema atakae kubali kuruhusu Yesu azaliwe moyoni mwake atambadilisha maisha yake na kufuta historia mbaya ya maisha ya nyuma atamfanya kuwa mpya nikaona isiwe kesi wacha nimkubali tu Huyu Yesu huwenda atatenda na kwangu pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza hongera kwa kukata shauri na kuamua kuwa mwanafunzi wa Yesu Kristo!

Actually kwenye swala la wokovu haipaswi kupongezana sababu Mungu huangalia mwisho wa jambo na wala si mwanzo pekee.

Unachotakiwa ni kuhakikisha unapata Mafundisho sahihi ya Neno la Uzima Regularly utashangaa jinsi mambo yako mengi yatakavyofanikiwa kwa wepesi hususa ni ktk hiki kipindi cha Mwanzo wa wokovu.

Wapuuze hao wanaokubeza kwa jinsi ulivyoamua kufanya jambo sahihi la kumpokea Yesu Kristo kama Bwana (Mtawala) na Mwokozi wa maisha yako .

Sasa nakushauri ukishajipanga amua kuoa na mwembe sana Mungu akupe mke mwema mwenye subira n.k mwenye kumuogopa Mwenyezi Mungu.

Na ukishaoa ni vyema ukaishi nae nyumba moja mkeo asiwe mbali nawe hiyo inaweza athiri timing ya upatikanaji mimba.

Epuka kampani ya marafiki watakaokushawishi kumuasi mwenyezi Mungu!

Kuokoa ni pamoja na kujikana nafsi yako na hiyo itakuwezesha kuishinda dhambi kwa kuwa na kiu ya kutaka kujifunza na kuyashika Mafundisho ya Neno la Mungu siku zote.

Nakutakia kila la kheri na udumu ktk kumjua zaidi Mungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana sana nenda hospital tu, jamaa mmoja alifunga ndoa miaka mitatu iliyopita hajawahi kupata mtoto but mkewe kafanya namna akampatia dawa na sasa binti ana miezi kadhaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom