Natamani sana kujua ndani ya ' Ubongo ' wa hawa Wenyeji wangu hapa Kisiwani Puerto Rico kuna ' madini ' gani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
1. Job
2. Paul
3. Hamis
4. Simon

Nimetokea kuwapenda sana na wamenikarimu mno hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo kwa mwaka huu unaenda wa 12 sasa na kikubwa ninachokipenda kwa hawa Wenyeji wangu ni uwezo wao wa ' Madini ' ambayo yanapatikana na ' Bongo ' zao.

Nisalimieni huko Tanzania na karibuni Puerto Rico.

Nawasilisha
 
Polenisana wapotorico naskiaraisi wenu kajenga kijijinikwaouwanja bilabunge lapuerto rica kuidhinisha ,visiwa huwa vina changamoto sana+
 
Nimetokea kuwapenda sana na wamenikarimu mno hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo kwa mwaka huu unaenda wa 12 sasa na kikubwa ninachokipenda kwa hawa Wenyeji wangu ni uwezo wao wa ' Madini ' ambayo yanapatikana na ' Bongo ' zao.

Nisalimieni huko Tanzania na karibuni Puerto Rico.

Sawa Poti..

Job ana madini ya kutosha katika ubongo, ila kuna mtu anamshikia hayo madini, anafanya replacement kwa faida ya wananchi wa Puerto Rico.

Paul yeye madini hana, ila anang'ang'ania aonekane na madini, ila madini hutoka kwa wazee wa kijiji cha puerto rico kwa lengo la kuwafurahisha wazee wakongwe wa mila na machief.

Khamis ana madini kwenye ubongo, ila kalewa na hajitambui afanye nini

Simon huyu ni port mwenzangu, madini anayo, ila funguo za mlango na maelekezo anatoa kwa mzee wa kijiji
 
Mkuu umesoma mkusanyiko wa vitabu viitwavyo "The Farseer Trilogy"?

Kuna member mmoja kitabuni anajulikana kama "King's Fool".

Hao uliowataja nawafananisha na huyo member.
 
1. Job
2. Paul
3. Hamis
4. Simon

Nimetokea kuwapenda sana na wamenikarimu mno hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo kwa mwaka huu unaenda wa 12 sasa na kikubwa ninachokipenda kwa hawa Wenyeji wangu ni uwezo wao wa ' Madini ' ambayo yanapatikana na ' Bongo ' zao.

Nisalimieni huko Tanzania na karibuni Puerto Rico.

Nawasilisha

No: 5 Jeni - Star
 
Hao wanaenjoy kazi ya kuswaga ming'ombe ya kipuerto Rico..

Kuna ming'ombe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Poti..

Job ana madini ya kutosha katika ubongo, ila kuna mtu anamshikia hayo madini, anafanya replacement kwa faida ya wananchi wa Puerto Rico.

Paul yeye madini hana, ila anang'ang'ania aonekane na madini, ila madini hutoka kwa wazee wa kijiji cha puerto rico kwa lengo la kuwafurahisha wazee wakongwe wa mila na machief.

Khamis ana madini kwenye ubongo, ila kalewa na hajitambui afanye nini

Simon huyu ni port mwenzangu, madini anayo, ila funguo za mlango na maelekezo anatoa kwa mzee wa kijiji
NIMEKAA NIMEFIKIRI KWA UMAKINI NA WELEDIWA HALI YA JUU (SIO WELEDI WA POLISI WA PUETORICO) NADHANI MNAHITAJI NISHANI YA UFUNDISHAJI KWA NJIA MNAYO TUMIA). KWA WAJINGA NA WAPUMBAVU WACHACHE HAPA NI KAMA MOSHI UMETIBUA UONI WA MTU.
 
Back
Top Bottom