Natamani sana kuishi mkoa wa Tanga

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,700
1,754
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani sana kuishi mkoa wa Tanga especially wilaya yenyewe ya Tanga mjini. Nmewahi kwenda mwaka 2014 na somehow nilivutiwa napo japo sijajua baadhi ya vitu katika wilaya hiyo...

Please kwa ambao mnaexperience yoyote ya kuishi Tanga especially Tanga mjini, you may share your experience. Gharama za maisha kiujumla kuanzia bei za nyumba au vyumba vya kupanga, bei za vyakula na vitu vingine vya muhimu.

Pia hata kwa ambao mmewahi kuishi maeneo mengine ya Tanga kama Korogwe, Muheza, n.k. mnaweza kushare experience zenu juu ya maisha ya huko.

Natanguliza shukrani.

Sent using Huawei P10 Plus
 
hv mtu anatamanije kitu ambach hana experience nacho..? mfano mtu anataman kuish franc hlf hajui chcht khs franc.
 
hv mtu anatamanije kitu ambach hana experience nacho..? mfano mtu anataman kuish franc hlf hajui chcht khs franc.
a lot of people wanatamani kuishi USA and they know nothing about USA....

Tanga nimekaa 3 months, so experience niliyonayo ni kidogo mno.... na sikuweza kucollect hizo info zote sababu ya ubize wa shughuli iliyonipeleka... ila nilipapenda sana

Sent using Huawei P10 Plus
 
Naamini ukifanikwa kuishi huko utayafurahia mapishi na viuno vya baikoko.
Kila la kheri...
 
Haya Sesten Zakazaka hebu njoo umuelekeze huyu Mkuu maisha ya kwetu Tanga.

Cc. ukhuty, Shunie,Mzigua90 na beingsingle na nyie mje ndugu zangu.
Tanga raha atakae na aje

Ukija Tanga uje polepole lakini maana waeza sahau kwenu kwa raha za mji ule

Raha ya Tanga upate mwenyeji mwenye kuujua mji na taratibu za kitanga

Usikurupukie kila kizuri utakachokiona, tuliza akili na uulize kwanza usije ukaichukia Tanga buree

Yapo mengi Hajar lakini aanze na haya kwanza
 
Ewaaaaaaa. Hiyo ndio Tanga yetu Sesten
 
Kwa Mkoa wa Tanga sehemu nzuri za kuishi na kutengeneza hela Ikibidi ni Tanga Mjini na Korogwe Mjini....ila kwa kuanzia maisha, Korogwe patakufaa sana..sikushauri sana Muheza ukishindwa korogwe bora ukae jijini kabisa!....
 
Kama una mke na watt nenda nao kabs bro utawasahau ujikute unawatelekeza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom