Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,606
Kama ukificha jina halisi, halafu ukaikashifu serikali, wakiamua kufuatilia hutapatikana?. Ulipojiunga JF ulitumia no yako ya simu! Ni sawa na bata kuficha kichwa chake ardhini akifikiria yupo salama.