Natamani sana CAG ajaye awe anahudhuria mikutano ya Rais popote pale

ipo siku utakufa

Senior Member
Dec 8, 2016
146
529
Awali ya yote naomba niwapongeze CDF,IGP,Mkuu wa usalama,Spika wa Bunge,Jaji mkuu kwakuwa wazalendo sababu kila hafla ya Mheshimiwa rais iwe ikulu au sehemu yeyote ile wanahudhuria hata iwe mkoani viongozi hawa huacha shughuli zao na kuhudhuria kwahili hatuna budi kuwapongeza.

binafsi natamani sana CAG ajaye awe ana hudhuria vikao na hafla za mheshimiwa rais sababu viongozi wakubwa karibia wote wanahudhuria why not CAG sijawahi kumuona ina maana Cheo cha auditing ni kikubwa kuliko cha spika,jaji mkuu na nyinginezo?

kingine mheshimiwa rais alipiga marufuku watumishi kusafiri nje ya nchi lkn ndugu yetu kavunja amri ya rais na kuzunguka mpaka kwenye vyombo vya habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeishia darasa la ngapi

Back
Top Bottom