Natamani rais anayeweza kuwakamata Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa ufisadi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani rais anayeweza kuwakamata Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa ufisadi wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Feb 24, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tangu kuingia awamu ya pili, Tanzania iligeuka kichaka cha ufisadi hasa ukifanyika kwenye ikulu. Rejea mke wa Mwinyi alivyoanzisha mchezo wa vimemo kupatia rushwa. Kumbuka kashfa ya Loliondo iliyosababisha kifo cha Stan Katabaro ambayo nyuma yake alikuwapo Ali Hassan Mwinyi. Mwinyi pia alihusika na IPTL inayolihangaisha taifa ukiachia mbali uuzaji wa mbuga zetu kwa waarabu toka Yemen maarufu akiitwa Brigedia Ali alikuja kugundulika kuwa kumbe ni mshirika wa Rostam Aziz mwizi wa EPA-Kagoda-Richmond Dowans akishirikiana na Edward Lowassa na Jakaya Kikwete
  Baada ya kuingia Benjamin Mkapa ndiyo ufisadi ukashika kani. Rejea ujambazi wa NBC na Net Solution Grop iliyokuwa imeingizwa na shemeji yake huku mmojawapo wa kampuni iliyoileta Net Solution Group akiwa mtoto w shemeji yake mwenye umri wa miaka mitano. Hapa bado hutajaongelea ugawaji wa madini yetu kuanzia Buzwagi hadi Kiwira alikojigawia mgodi mzima ambao unaendelea kula pesa ya walipa kodi hadi sasa.
  Tukija kwa Jakaya Kiwete zao la wizi wa EPA ndiyo usiseme. Kila kitu kiko nje nje out for graps huku yeye akiendelea kuchekacheka na kuzurura wakati taifa linaangamia. Hapa hujagusia ujambazi unaoendeshwa na mwanae na mkewe waliorithi ujambazi huu toka kwa Anna Tamaa Mkapa wa Kishumundu.
  Kwa machache haya natamani rais ajaye atoke upinzani na awe mwenye uchungu na nchi awashikishe adabu wezi hawa walioliweka taifa letu reheni kwa sababu ya upogo na uchu wao.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wewe kweli ni Mpayukaji. Endelea kupayuka ndugu yangu, siku moja yatatimia. Tanzania ya ukweli na haki itapatikana tu.
   
 3. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndiyo inayotakiwa; washenzi wote walioshindwa kulitetea taifa na maslahi yake wakati walikuwa na madaraka ya kufanya hivyo wanatakiwa kujutia makosa yao waliyoyafanya makusudi.
  Hawa wanatakiwa wafungwe maisha na wafilisiwe kila kitu ili ijulikane kwamba nchi inaendeshwa kwa utawala wa sheria na adabu.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Fisadi la kutisha ni JK. Huyu ingekuwa China angeshanyongwa.
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,875
  Likes Received: 2,817
  Trophy Points: 280
  Usipayuke kichaa wangu mwishowe watakusikia! Au kikwetu tunasema UDIZUHAMKA!
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo Nyerere naye ndani kwa sababu sera zake ziliboronga?
   
 7. Paradisian

  Paradisian JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 60
  Mtoto wa mkulima naye sikuhizi kimyaa hatumuoni akitoa machozi!
   
 8. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mmh kweli wewe mpayukaji...
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2015
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Mimi wangenikamatia tu mkapa kwa ufisadi wake wa kujiuzia mgodi wa kiwira basi roho yangu ingetulia
   
Loading...