Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by isinkini, Jul 23, 2011.

 1. i

  isinkini Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Kwanini isiwe Mukama vs Slaa!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani mukama ni msemaji wa chama? naomba hili kwanza nilifahamu mkuu...
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Unaonyesha hujui unachokisema! Hivi Katiba ya Chadema inasema msemaji wa Chama ni Katibu Mkuu? Au mtu yeyote anayesisika kila siku ni msemaji? Lini Dr Slaa alimtupia madongo Nape? Shirikisha ubongo wako katika kuleta hoja hapa! Kwa heri
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  No,dont pull us down.....! ! ! Labda Slaa vs Secretariet ya CCM
   
 6. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo Nape huwezi kumlinganisha na Slaa nape ni mropokaji hana jipya.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nape na Dr. Slaa? Tafadhali bwana.!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mdahalo na wezi watatuchafua tu hao!!!
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Husirudie huu upuuzi tena katika maisha yako, Nape labda afanye mdahalo na Diwani wa CDM
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wewe jamaa ni nanga ya melini ikiachiwa kwenda majini haiulizi inaenda tu hadi topeni .Hakuna cha kujadili hakuna hoja wewe unaleta umbeya tu hapa .Slaa na Nape ? Slaa na JK ndiyo mwendo mdundo na hapo utajua maana ya mtu kwenda shule.
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapa umeongea mkuu. Hawa ndio watu wa level moja! Mimi ni mwqna CCm, lakini kwa hili tunamdhalilisha kwa kumweka kwenye mdahalo na Nape
   
 12. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,510
  Trophy Points: 280
  jk na slaa!no man slaa too cheap man
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  acheni kumdhalilisha rais wetu wa moyoni,nape ni vuvuzela tu,
   
 14. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa hili ulilo andika nadhani akili yako imefika ukomo wa kufikiri, hivi kama ameiba kwanini hakufunguliwa mashitaka theft, kama wanawake wanaibiwa bac hata wewe inaonekana huwa UNAIBWA we vipi? sishangai wewe lazima ni mwanagamba (ccm)
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa akili yako Nape anamfanisha na Dr Slaa?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,472
  Trophy Points: 280
  dk slaa na wabunge wote wa ccm +kikwete +mama salma +riz1+miraji+mke mdogo wa uarabuni
   
 17. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata umuweke nape na Mnyika bado nape mwepesi mno. Labda na Regia Mtema.
   
 18. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mkuu hii imetulia na imenivunja mbavu san sana duh asante mkuu wacha nisome kitabu changu kwanza duh duh duh
   
 19. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Wee wacha tu, Mheshimiwa Slaa anavyowaogopa hawa watu ni bora akutane na Chatu mwenye njaa, N'ge au nyoka mkali kuliko Nape. Alikuwa haifahamu CCM na watu wake. Baada ya kufuatwa mafichoni, baada ya uchAGUZI MKUU na hawa watu na kufundwa Unyago kwa miezi kadhaa, ndipo kimya kilipomtawala na kujuta kwanini aliachana na shughuli za kumtumikia Mungu na kujiunga na Siasa.

  Kilichofanya kuitambua CCM vizuiri SANA, ni zile purukushaNI ZA ARUSHA.
   
 20. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu!maana hata haiwezekani eti Dr akutane na mtu ambaye hata udiwani hauwezi wa nini huyo?kwa ninavyomjua Dr hawezi hata kukutana na mtoa pumba kama Nape!
   
Loading...