"Natamani nipate Mimba Jamani".....LINAH

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
STAA wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ juzikati ameweka wazi nia yake ya kusaka mtoto, Risasi Mchanganyiko linakushushia.
Estelina Sanga ‘Linah’.

Akizungumza na mwandishi wetu Desemba 9, mwaka huu jijini Dar, Linah alisema tangu alipoingia kwenye muziki hakuwahi kufikiria kushika ujauzito kwa kuwa alikuwa bado hajajiandaa kufanya hivyo.
Nyota huyo ambaye aliwahi kuzama katika penzi zito la staa mwenzake, Amin Mwinyimkuu alisema kuwa kwa sasa hali ni tofauti na anataka kuzaa iwapo atashika ujauzito.
“Nilipokuwa katika uhusiano wangu wa kwanza hakuna hata siku moja niliyohisi kama nitakuja kutamani kupata mtoto maana mwenzangu aliponiambia tuzae nilimkatalia tofauti na leo hii natamani nishike mimba na ulimwengu wote ujue kwamba nina mimba,” alisema Linah.
Hata hivyo Linah alikwepa kuweka wazi uhusiano wake wa sasa na hakutaka kumwongelea Amin.
 
Sasa si amwambie anaemgonga ampe mimba anatangaza anataka mimba atawaweza wanaume wote wakitaka waje wampe mimba

Ukitoa mimba sanaa lazima utamani kupata mimbaa
 
Toto lina minyama nyama balaa..
aje kwangu nimpe hiyo mimba pamoja na gharama za kuitunza mpaka kukuza mtoto..
 
STAA wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ juzikati ameweka wazi nia yake ya kusaka mtoto, Risasi Mchanganyiko linakushushia.
Estelina Sanga ‘Linah’.

Akizungumza na mwandishi wetu Desemba 9, mwaka huu jijini Dar, Linah alisema tangu alipoingia kwenye muziki hakuwahi kufikiria kushika ujauzito kwa kuwa alikuwa bado hajajiandaa kufanya hivyo.
Nyota huyo ambaye aliwahi kuzama katika penzi zito la staa mwenzake, Amin Mwinyimkuu alisema kuwa kwa sasa hali ni tofauti na anataka kuzaa iwapo atashika ujauzito.
“Nilipokuwa katika uhusiano wangu wa kwanza hakuna hata siku moja niliyohisi kama nitakuja kutamani kupata mtoto maana mwenzangu aliponiambia tuzae nilimkatalia tofauti na leo hii natamani nishike mimba na ulimwengu wote ujue kwamba nina mimba,” alisema Linah.
Hata hivyo Linah alikwepa kuweka wazi uhusiano wake wa sasa na hakutaka kumwongelea Amin.

For PROMOTIONAL USE ONLY
 
uzuri wa linnah akikuelewa anakupa mambo uwe na jina au usiwe nalo,uwe na pesa au usiwe nazo...si demu anayeangalia sana mshiko!personally namuelewa sana linnah
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom