Natamani Nipate BAN!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,596
5,787
Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.
 
Baada ya kuona picha yako nimegundua nguvu ya moshi imekusukuma kuomba ban,ingekuwa nguvu ya arusha wala usingeomba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom