Chronicles
Member
- Jul 17, 2016
- 26
- 23
It's hard to stay humble
Mimi nilisha achana nayo kbsa nilikuwa naipenda sana ilishafanya nigombane na mtu nikiwa nasoma Lushoto diploma in law....Sasa hivi hata kwenye mikeka yangu huwa nairuka tu nikiwa nabetHii team basi tuu...ishanipunguzia kilo za kutosha mpaka ss,anyway COYG 💪🏿💪🏿💪🏿
Mkuu umesoma IJASO sio...Mimi nilisha achana nayo kbsa nilikuwa naipenda sana ilishafanya nigombane na mtu nikiwa nasoma Lushoto diploma in law....Sasa hivi hata kwenye mikeka yangu huwa nairuka tu nikiwa nabet
Mi napenda tu hiyo nembo ya visit rwandaIt's hard to stay humble View attachment 1287399View attachment 1287400