Natamani ningezaliwa hata zimbabwe, hii Tanzania siielewi inaelekea wapi

charlie120

Member
Jan 17, 2017
44
33
a4b896c529a7efaa371820e76bbd9495.jpg
 
Mbona raisi kashasema anaeona nchi hii imemshinda ruksa kuhama, sielewi unashindwa nini
 
Kule Zimbabwe ndo mbaya zaidi kwani kuna mzee wa miaka 93 anatawala na anapanga kugombea tena mwaka 2018 atakapokuwa na umri wa miaka 95! Na amesema haoni wa kumrithi!!! Na kwamba atagombea hata akiwa marehemu!!!!!! Bongo nzuri.
 
Zimbabwe??? Siipendi CCM, simpendi Magifuri, ht kwa nini siwezi kutamani kuishi Zimbabwe.
 
Kule Zimbabwe ndo mbaya zaidi kwani kuna mzee wa miaka 93 anatawala na anapanga kugombea tena mwaka 2018 atakapokuwa na umri wa miaka 95! Na amesema haoni wa kumrithi!!! Na kwamba atagombea hata akiwa marehemu!!!!!! Bongo nzuri.
na sisi tunaelekea huko huko
 
Back
Top Bottom