Natamani ningekuwa nasafiri kwa private sasa hivi

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Wadau,

Nipo njiani naelekea Morogoro sasahivi, kuanzia Kimara ikatokea gari ya jeshi inapiga king'ora, kumbe inasindikiza malori kma 10 hivi ya jeshi kila moja limebeba kontena la 40ft. Hatujajua kuna nini ndani.

Ningekuwa nasafiri kwa private, trafiki wangenikasirikia sana, kwa sababu ningejitahidi kwenda mwendo wao tu, trafiki akitahamaki nimeshampita. Basi nililopanda, dereva anaenda nao yani ile man-to-man, hawaachi.
 
Kama hayo magari ya Jeshi yana bendera nyekundu na wewe unakwenda man to man basi unatakiwa kujitafakari kabla ya kujisifia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom