Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

I'm old enough na jinsi na grow I have learn to live the life I want, pia nimeona dunia hii expectations za ki depend kwa watu au rules za kijamii huwa zinatesa watu, I prefer open relationship bila kuwa na attachment ya kusumbuana na vile pia kuliko kuwa na unafiki au commitment ya ndoa moja huku miteso hapana
I totally agree with you.
 
Mwenyewe huwa nawaza ka wewe mleta mada mume awe hata na wake sita hivi ili kunipa na mimi mda wa kutimiza ndoto nikiwa busy na kazi zangu pia maana kikubwa mimi kwa mwanaume ni kutaka watoto sasa nikiwa nao tayari furaha yangu yeye ahangaike na hao wake wengine tena ubusy huo hata kugombana na kusumbuana inakuwa kidogo mno.
Ila wewe ni changamoto asee!!
 
Eeh mitaala inaleta balance sana sema tu nivile mmekumbatia uzungu😅!

Hata mume tu akiwa na mchepuko ni raha sana yani hamna genye za ajabu ajabu zile yani unakuwa mda wote upo calm maana hauna kipengele😅 na ukihitaji huduma ni instant maana wakati mke mmoja yupo period mwengine anachakatika freshi!
 
Mwenyewe huwa nawaza ka wewe mleta mada mume awe hata na wake sita hivi ili kunipa na mimi mda wa kutimiza ndoto nikiwa busy na kazi zangu pia maana kikubwa mimi kwa mwanaume ni kutaka watoto sasa nikiwa nao tayari furaha yangu yeye ahangaike na hao wake wengine tena ubusy huo hata kugombana na kusumbuana inakuwa kidogo mno.
Ugomvi utatoka wapi na wakati unajua ukimtibua atahamia kwa mwenzio!

Visirani vingi vya wanawake ni sababu mnahisi mwanaume hana options unamnyima tu unavyojiskia na hatakiwi kula mzigo nje, matokeo yake mnaishia kuteseka tu maana mizigo nje lazma iliwe japo kwa wizi!

Ila ile hali ya kujua kuwa mume atakususa inakurudisha katika form kabisa!
 
Eeh mitaala inaleta balance sana sema tu nivile mmekumbatia uzungu!

Hata mume tu akiwa na mchepuko ni raha sana yani hamna genye za ajabu ajabu zile yani unakuwa mda wote upo calm maana hauna kipengele na ukihitaji huduma ni instant maana wakati mke mmoja yupo period mwengine anachakatika freshi!
ni kweli bana ujinga wakuhangaika na mume awe tu na wengi ili na mimi niwe busy na kazi bana, mambo ya kujibana na kujipa shida mimi siwezi kabisa, tena inanipunguzia kero nakuwa na uhuru mwingi
 
Heheheheh ila cha ajabu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupekuwa mume anawasiliana na nani!
 
Ugomvi utatoka wapi na wakati unajua ukimtibua atahamia kwa mwenzio!

Visirani vingi vya wanawake ni sababu mnahisi mwanaume hana options unamnyima tu unavyojiskia na hatakiwi kula mzigo nje, matokeo yake mnaishia kuteseka tu maana mizigo nje lazma iliwe japo kwa wizi!

Ila ile hali ya kujua kuwa mume atakususa inakurudisha katika form kabisa!
Visirani huwa ni hulka tu ya mtu yoyote unafikiria ni vile mtu hana options ni ka behavior kachafu ka mtu anakojiendekeza tu kukera mwenzake. Mimi mwanamke ila huwa sipendi watu visirani kabisa, ni vizuri kukutana mkimisiana hadi mzunguko uje na wewe ushafanya yako
 
Heheheheh ila cha ajabu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupekuwa mume anawasiliana na nani!
Mimi huwa sigusi kabisa hata kuhangaika na simu yake hata tukiwa pamoja tena wanawake hupiga naona hapokei na mimi sihangaiki hata kidogo na yeye hagusi yanguhuwa ananiuliza why acting like this, namwambia utajiju mwisho huniona sijakua eti simpendi
 
Visirani huwa ni hulka tu ya mtu yoyote unafikiria ni vile mtu hana options ni ka behavior kachafu ka mtu anakojiendekeza tu kukera mwenzake. Mimi mwanamke ila huwa sipendi watu visirani kabisa, ni vizuri kukutana mkimisiana hadi mzunguko uje na wewe ushafanya yako
Shenzi yani na ww ufanye yako kweli😅😅😅 tuliza qinembe mama! We uhuru unaotaka ni wa kujifanyia unavyojiskia hata nje ya miko! Huo hauwez upata
 
Mimi huwa sigusi kabisa hata kuhangaika na simu yake hata tukiwa pamoja tena wanawake hupiga naona hapokei na mimi sihangaiki hata kidogo na yeye hagusi yanguhuwa ananiuliza why acting like this, namwambia utajiju mwisho huniona sijakua eti simpendi
Muko njema
 
Back
Top Bottom