Natamani nianze kusoma vitabu vya Kiswahili lakini Sijiui nianzie wapi

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
671
1,389
Hellow Bosess

Leo nimevutiwa na nukuu moja kutuka kwenye kitabu cha kiswahili nimeiona kwenye post ya Kapula la Marx (nimesahau kidogo jina, nimeutafuta ule uzi sijauona tena)

Noamba kujua ni kitabu gani cha lugha adhimu ya Kiswahili (ambacho akijatumia maneno ya rahisi Mfano: Muarabu - Mtu akisikia hili neno anajua ni mtu kutoka huko Uarabuni, lakini kwenye kiswahili hili neno linamaanisha mtu maribifu. Nimependekeza hivi ilinipate kitu kipya cha kuongeza kwenye ubongo)

Kwa mwenye list au anajua ni kitabu gani kizuri cha Kiswahili naomba aniambie nitakitafuta, na nikikikosa nita mtafuta kama ataweza kunipatia kwa garama zangu mwenyewe

Naomba kitabu kisiwe cha maudhui yafuatayo
1. Siasa - (Mimi binafsi sipendi kujihusisha na maswala ya siasa)
2. Visa vya Mapenzi - (hapa sina la kusema)

Nitapenda kama nitapata vifuatavyo
1. Mambo ya ujasusi - (Hapa haijalisikina kurasa ngapi)
2. Uchumi na fedha - (kama kile cha mengi I can...)
3. Mambo Ya Kichawi - (naomba kiwe sio kisa cha kutisha sana nisije kulala huku taa inawaka kwa maana mm ni mzuri kwenye kufanya immagination )
4. true story - (hadithi ya/ za kweli)
5. ambacho akija base sana kwenye siasa angalau (60% sisasa + 20%uchumi + 10% ujasusi + 10% maamuzi magumu: Eg kile Kapulala Max (sijakisoma bado) )
6. Chochote kile ambacho kina hadithi nzuri na za kusisimua
 
Back
Top Bottom