Kiwalani
Senior Member
- Feb 25, 2010
- 129
- 12
Jamani hivi ikitokea Rais JK akawaita Ikulu hawa vijana - Zitto Kabwe, Ismael Jussa, John Mnyika na Januari Makamba, na kuwakabidhi nchi, akisema, "nawapa hii nchi kwa sababu nina imani na uwezo wenu na sijali itikadi za vyama vyenu, tunachotaka ni maendeleo ya nchi". Unadhani atakuwa amefanya jambo la busara?