Natamani na Wanasiasa wengine nchini Tanzania wayaige haya Maazimio yangu ya mwaka 2019

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,559
1. Nitaanza kutembelea na nchi za Ulaya na Marekani hadi huko Asia badala ya Kung'ang'ania tu Dar es Salaam na Dodoma Tanzania.
2. Nitahakikisha Maadui zangu wote wa Kisiasa wanakuwa Marafiki zangu wakubwa wa Maendeleo.
3. Nitaacha Ubishi na Ubabe bila kusahau na Ukali.
4. Nitaanza Kutembelea na Mikoa mingine ya Tanzania na siyo tu Mara, Mwanza, Geita na Tabora.
5. Sitokuwa nabuni tena Matukio ili baadae nije niyatatue halafu nipate Umaarufu / Sifa.
6. Sitokuwa Mnafiki na sitopenda Watu waniombee bali kuanzia sasa nitakuwa najiombe mwenyewe.
7. Nitapenda mno na sana Kushaurika na Watanzania na nitakuwa naupitia mara kwa mara Mtandao wa JamiiForums ili unijenge zaidi.

Nawasilisha.
 
Usiposikia wimbo bora wa kuombewa, hakika wafa kwa B.P Mana nakujua unapenda kweli maombi,
Afu unasafiri vipi wakati unakoenda wanafuga mabeberu tu ya mbuzi na si Fahali?

Nakushangaa ujue!!!
Ila ukianza kusafiri nialalike lau nikubebee mkoba
 
1. Nitaanza kutembelea na nchi za Ulaya na Marekani hadi huko Asia badala ya Kung'ang'ania tu Dar es Salaam na Dodoma Tanzania.
2. Nitahakikisha Maadui zangu wote wa Kisiasa wanakuwa Marafiki zangu wakubwa wa Maendeleo.
3. Nitaacha Ubishi na Ubabe bila kusahau na Ukali.
4. Nitaanza Kutembelea na Mikoa mingine ya Tanzania na siyo tu Mara, Mwanza, Geita na Tabora.
5. Sitokuwa nabuni tena Matukio ili baadae nije niyatatue halafu nipate Umaarufu / Sifa.
6. Sitokuwa Mnafiki na sitopenda Watu waniombee bali kuanzia sasa nitakuwa najiombe mwenyewe.
7. Nitapenda mno na sana Kushaurika na Watanzania na nitakuwa naupitia mara kwa mara Mtandao wa JamiiForums ili unijenge zaidi.

Nawasilisha.
Amekusika.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom