2sexy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 638
- 1,329
Somo nilielewa vzrSwali hilo lilikuwa section c na lilikuwa na Mark's 10. Umepata 9.5
Somo nilielewa vzrSwali hilo lilikuwa section c na lilikuwa na Mark's 10. Umepata 9.5
Ngoja tumsubiri ,Ndio ajibu sasa. Kama ke tujue😀😀
HongeraaaaaSomo nilielewa vzr
Hii kitu bana mie nkiona hata bahati mbaya kwenye daladala napitiliza kituo niko radhi nchelewe nizione mpaka mwisho bana...zinanivuruga
Napenda mwanamke anaye vaa shanga ila kwa bahati mbaya girl friend wangu apendi
Alafu awe na kihirizi kidogo cheusi kinaning'inia kwenye hizo shanga, mie ndio nachanganyikiwa kabisa na mahali naenda kutoa. Sijui ndio limbwata.Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri
Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Sasa kama una minyama uzembe utakuwa na hamu ya kuvaa shanga kweli!Wanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
Hawa wanaziachia ndio wanaondoa mvuto wa shanga.Sio poa nyieView attachment 1684007
salama kaka habari ya weweZa siku ukhty???
Unanijua???Sasa kama una minyama uzembe utakuwa na hamu ya kuvaa shanga kweli!
Sasa kama una minyama uzembe utakuwa na hamu ya kuvaa shanga kweli!
Nyie pisi kali mna tabu sana. Kwakuwa wewe ki-portable pisi kali ndio unamchekea mwenzio sio??😄😄😄
alhamdulillah sote tu buheri wa afyaNzuri tu.
Family haijambo??
Muache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.Nyie pisi kali mna tabu sana. Kwakuwa wewe ki-portable pisi kali ndio unamchekea mwenzio sio??
Humjui Miss Reneee wewe
Si unajua sometimes fikraaaaMuache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.
Hujui mahaba wewe