Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri

Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Alafu awe na kihirizi kidogo cheusi kinaning'inia kwenye hizo shanga, mie ndio nachanganyikiwa kabisa na mahali naenda kutoa. Sijui ndio limbwata.
 
Muache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.
Si unajua sometimes fikraaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom