Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

Aniva

JF-Expert Member
Jan 25, 2018
717
798
Hellow,

Najihisi mpweke sana kipindi hichi cha mvua maana tangu tumeachana na mwenzangu ni takribani miezi sita sijapata wa kumuamini.

Natamani ningekuwa na mtoto kipindi hichi na mimi nimkumbatie nahisi angekuwa tulizo tosha na ningefarijika na ningekuwa na amani tofauti na sasa.

Uwezo wa kumpata ninao tatizo kila anekuja naona muongo kutokana na approaching style yake na kiukweli sijawahi vutiwa kabisa na mtu yeyote kutokana na sababu hii.

Nia ya hii post nahitaji mshauri mwenye kujua psychology vizuri na kunifanya niwe kawaida.

Nadhani itasaidia kunifanya nimpate baba wa watoto wangu ushauri pia nitazingatia.

Nawapenda.
 
Tamka vizuri haiitwi "wa uhakika wa kuzaa nae anaitwa mume",wewe unataka wa kuzaa naye ktk hali ya uzinzi huogopi dhambi?pia inatakiwa ujue JF kila mtu ana akili zake hapa hutokaa upate jibu jibu utalipata kwa kumshirikisha Mungu.

Sali kwa Mungu unaemuamini akuonyeshe mtu sahihi wa kuwa mumeo kwani sio rahisi kama unavyofikiri.
 
Mliachana kama ndoa iliyovunjika au uzinzi tu
Kama unahitaji wa kuzaa nae tu halafu ukamkumbatia mtoto na tatizo likaisha hapo ndio kwenye tatizo

Pole sana nakuombea upate mme mwema wa kuishi nae na kujenga maisha
Umri wetu wa kuishi duniani ni mfupi sana
Unatamani maisha na hutaki kuyatumia vizuri
 
Asante sir ntafanya ivo pia
 
Natamani mtoto tu Ndiyo kiu yangu kwa sasa. Ingekuwa namuota na kuamka nkamkuta ningekuwa Wa kwanza kumpata
 
Hamuwezi kurudiana? Kama haiwezekani muombe tu akutie mimba, ila mtoto anahitaji Wazazi wote wawili na si baba mtoa mbegu tu.

Hellow,

Najihisi Mpweke Sana Kipindi Hichi cha Mvua Maana Tangu Tumeachana na Mwenzangu Ni Takribani Miezi Sita Cjapata Wa Ku muamini. Natamani ningekuwa na Mtoto Kipindi Hichi Namimi Nimkumbatie Nahisi Angekuwa Tulizo Tosha Na Ninge Farijika Na Ningekuwa Na Amani Tofauti na Sasa.

Uwezo Wakumpata Ninao Tatizo Kila Anekuja Naona muongo Kutokana Na Approaching Style Yake Na Kiukweli Sijawahi Vutiwa kabisaaa Na Mtu Yeyote Kutokana na sababu hii.

Nia ya hii post Nahitaji Mshauri Mwenye Kujua psychology Vizuri Na kunifanya niwe Kawaida Nadhani Itasaidia Kunifanya Nimpate Baba Wa Watoto Wangu Ushauri Pia Ntazingatia

Nawapenda.
 
Hamuwezi kurudiana? Kama haiwezekani muombe tu akutie mimba, ila mtoto anahitaji Wazazi wote wawili na si si baba mtoa mbegu tu.
Ni kweli anahitaji wazazi Wote wawili iLa Siyo mbaya atakuwa huru tuu kwenda kwa baba pia
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom