Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,113
Weka (LIKE) kama unapenda Dar-Es-Salaam ijengwe hivi...na COMMENT kama unaona haitawezekana...!
mkuu TONGONI Unangojea mpaka Vijisenti walivyoiba Mafisadi virudi ndio uwe na wazo la kujenga mji wa dar akama hiyo picha inavyoonyesha?Sahau kabisa pesa hizo harudi ndio zimekwisha kwenda Kiendacho kwa Mganga huwa hakirudi kaka.Hivi ni vijimambo tu ngoja vijisenti vyetu vya Uswiss vipatikane.
Wapi hapo?
Na kwa kuongezea hapo, labda tupitishe kwenye katiba mpya kuwa rais wetu lazima awe kaburu toka africa kusini. Ni hapo tu ndio tutaweza kujenga kama hivyo ilivyo hapo kwenye picha.sijui, labda Mwai Kibaki akiwa raisi wa Tanzania
Tupo kwenye upempuzi yakinifu na serekali sikivu inalifanyia kazi wazo lako