Natamani Misiba ya Wahaya iwe mingi kwani inatusaidia sana Kuimarisha Afya zetu kwa Vyakula na Kuoka Bajeti zetu za Kimaisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Wahaya tafadhalini endeleeni Kufa ili wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) tuje Kula, Kunywa na Kusaza Majumbani mwenu. Na naomba Mungu sana Wahaya wakishamaliza Kufa wote sasa zamu iwe kwa Waha kisha Wanyiramba, Wanyaturu, Warangi na Wakara ili tuweze ' Kushiba ' huko Misibani mwenu.

Jamani bado naendelea kuwapa Pole zangu nyingi sana Watanzania wote, wana Familia wa CMG, wana Tasnia ya Habari nchini, Familia yake nzima Baba na Mama pamoja na wale Wapendwa wake wote ambao wameguswa kwa namna moja au nyingine na Msiba huu mzito wa Ndugu yetu ' Genius ' wa Entertainment, Creative Industry na Media Marehemu Ruge Mutahaba.

Tupo pamoja katika Msiba ( siyo Cyprian ) mzito kabisa na pigo kwa nchini na Sisi Watani zenu wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) tumeumia na kusikitika mno kwani ni kupitia huyu huyu Marehemu Ruge ndiyo aliweza ' Kuwahimiza ' Wahaya wote hasa Wanawake wawe wanapenda na kujipendekeza sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na kutulazimisha tuwaoe huku wakisema kuwa Wanaume wa Kagera ( Bukoba ) hawajui Kupenda, hawapigi na hawajeruhi pia.

Nawasilisha.
 
Mizaha ya namna hii Ni ya kipumbavu

Pumbavu ni wana Ukoo wako wote pamoja nawe. Wahaya ni Watani zetu wakubwa mno na hakuna Watu ninaowapenda kama Watani zangu Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi. Na isitoshe nimeleta hapa huu ' Uzi ' ukiwa ni Jukwaa la Utani. Halafu ni nani aliyekuambia kuwa katika Msiba Watu hawaruhusiwi Kutaniana? Hivi Wewe ' Takataka ' unajua dhana nzima ya ' Utani ' kuwepo katika Jamii ya Watanzania? au unadhani Mimi GENTAMYCINE sijaumia na siumii Kufariki Kwake Ruge Mutahaba?

Nakumbuka miaka ya 90 huko wakati wa Msiba wa Kaka yake Mwalimu Nyerere ( R.I.P ) pale Butiama ( waliokuwepo watanirekebisha ) Watani zetu hawa hawa Wahaya wakati Jeneza liko mbele walikuwa Wahaya fulani wawili wakawa wanalikalia huku wakilifanyia ' dhihaka ' za kila aina na wakisema kuwa Wazanaki na Mwalimu Nyerere tumemtoa ' Kafara ' Marehemu kisha wakasema Marehemu haendi Kuzikwa hadi kupatikane Pesa fulani na nakumbuka Hayati Mwalimu ilibidi pale pale awaite Wazee wa Kimila pamoja na hata Mzee Butiku ili Hela ya Watani ipatikane na wapewe na hilo lilifanyika haraka sana na wakapewa hizo Pesa na kuruhusu Marehemu akazikwe Mwitongo.

Ili uone kuwa Utani una Faida kubwa kuliko uwazavyo Mpumbavu Wewe ile Hela ambayo Watani zetu Wahaya waliiomba Sisi tulidhani labda wanataka tu kwenda ' Kuitumbua ' lakini huwezi amini Watani zetu hawa Wahaya ile Hela pamoja na zao ( walizochangishana ) wao kwa wao walienda Kununua Ng'ombe na Mahitaji mengine ya pale Msibani ndipo Sisi wengine ambao bado tulikuwa wadogo tukaujua umuhimu wa Utani hasa kwa Makabila ya Tanzania zaidi ya 120.

Siku zingine acha kuwa Mpumbavu tafadhali na hawa Watani zangu Wapendwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi nitaendelea ' Kuwatania ' hadi Siku ile na Mimi naingia Kaburini Kulazwa na bado nasisitiza hakuna Watu ninaowapenda na kuwaheshimu kama Watani zangu hao na ndiyo maana hata wakinisema ( wakinichana ) huwa nakuwa mpole kwani ni Wajomba na Shangazi zetu.

Pumbavu.
 
Naona ulitegesha bomu lako jamaa kakanyaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unafukuzia shilingi ili ufanye utumwa siyo??? Nenda msibani kaoshe glass na kugawa vyakula utapata shilingi yako pumbavu weee. Ila nakupenda sana kwa kukubali utani wapo wanaojifanya utani hawaujui na wanakosa mengi. Wenzenu tunapikiwa tunalishwa na wenzetu watani yakiwapata tunawalisha na kuwanywesha kwa shilingi tuuu. Udumu utani.
 
Huyu Ruge Pamoja Na Misifa ya Kabila lake nashangaa hakuwa Na Account rasmi ya jina lake Kwenye Mitandao ili kushindana followers

Nawaza Sifa Za Ruge angekuwa nazo Haji Manara Sijui Kama kungekalilka

Mtoto wa Prof Na Dkt

Kazaliwa mbele kabisa yaan Posta mpya ya US

Halafu kichwa kimejaa Madini

Mkwanja wa kutosha

Tungemkoma Yule Zeruzeru kwa nyodo
 
Naunga mkono hoja. Mi nataka wapare wadedi kwa wingi ili tubadilishe menu kwa kufakamia makande kwa wingi huku tukijifunza kubana matumizi kwa kugonga ugali kwa picha ya samaki perege.

Cc Mshana Jr , NAKWEDE
Wapare ni wachumi wa kuzaliwa lakini cha ajabu wanaweza practical tu theory inawatupa chini. Wangepasi theory hazina na benk kuu wangekua ni Mgonja, Mshana, Mziray....
 
Pumbavu ni wana Ukoo wako wote pamoja nawe. Wahaya ni Watani zetu wakubwa mno na hakuna Watu ninaowapenda kama Watani zangu Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi. Na isitoshe nimeleta hapa huu ' Uzi ' ukiwa ni Jukwaa la Utani. Halafu ni nani aliyekuambia kuwa katika Msiba Watu hawaruhusiwi Kutaniana? Hivi Wewe ' Takataka ' unajua dhana nzima ya ' Utani ' kuwepo katika Jamii ya Watanzania? au unadhani Mimi GENTAMYCINE sijaumia na siumii Kufariki Kwake Ruge Mutahaba?

Nakumbuka miaka ya 90 huko wakati wa Msiba wa Kaka yake Mwalimu Nyerere ( R.I.P ) pale Butiama ( waliokuwepo watanirekebisha ) Watani zetu hawa hawa Wahaya wakati Jeneza liko mbele walikuwa Wahaya fulani wawili wakawa wanalikalia huku wakilifanyia ' dhihaka ' za kila aina na wakisema kuwa Wazanaki na Mwalimu Nyerere tumemtoa ' Kafara ' Marehemu kisha wakasema Marehemu haendi Kuzikwa hadi kupatikane Pesa fulani na nakumbuka Hayati Mwalimu ilibidi pale pale awaite Wazee wa Kimila pamoja na hata Mzee Butiku ili Hela ya Watani ipatikane na wapewe na hilo lilifanyika haraka sana na wakapewa hizo Pesa na kuruhusu Marehemu akazikwe Mwitongo.

Ili uone kuwa Utani una Faida kubwa kuliko uwazavyo Mpumbavu Wewe ile Hela ambayo Watani zetu Wahaya waliiomba Sisi tulidhani labda wanataka tu kwenda ' Kuitumbua ' lakini huwezi amini Watani zetu hawa Wahaya ile Hela pamoja na zao ( walizochangishana ) wao kwa wao walienda Kununua Ng'ombe na Mahitaji mengine ya pale Msibani ndipo Sisi wengine ambao bado tulikuwa wadogo tukaujua umuhimu wa Utani hasa kwa Makabila ya Tanzania zaidi ya 120.

Siku zingine acha kuwa Mpumbavu tafadhali na hawa Watani zangu Wapendwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi nitaendelea ' Kuwatania ' hadi Siku ile na Mimi naingia Kaburini Kulazwa na bado nasisitiza hakuna Watu ninaowapenda na kuwaheshimu kama Watani zangu hao na ndiyo maana hata wakinisema ( wakinichana ) huwa nakuwa mpole kwani ni Wajomba na Shangazi zetu.

Pumbavu.
mtani msamehe bure huyo.
Hajawaki kutana na watani zake wanchezea kabri la mama ake mzazi huyo
Mbona atarusha ngumi 😂
 
Umetumia nguvu nyingi sana kumjibu huyo mwana mtoka pabaya.
 
Ha ha ha jamaa ameingia kichwakichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom