#COVID19 Natamani mdahalo 'live' kati ya wanaokubali na kukataa chanjo ya COVID-19

Yaani debate ya kitaalamu ijadiliwe na vilaza waliojaa humu JF, ama kweli maajabu hayajawahi kuisha.
 
Timu chanjo yes imeingia mitini!! Hawana hoja!

Chanjo isiyokuwa na sifa ya chanjo hata moja. Chanjo isiyokuwa na ubavu wa kumkinga mchanjwaji!! Mtu kachanjwa lakini anaweza kuambukizwa na kuambukizwa na kuugua na kufa!

Lengo kuu la chanjo ni kinga. Kama chanjo haimkingi mchanjwaji hiyo siyo chanjo! Waitafutie jina jingine!! Napendekeza iitwe "chanzo" badala ya chanjo.
 
Mkuu,

*NWO=Yes

*SRO=No

This means SRONWO equals 5 short of 2 to complement days of a week deduced from the rival derivative arguments whereas

Yes=4 while No=2

We have, 2n=4

Implying n=2

For civilization and sanctuary to get harmonized without sustaining damages out of vengeance clash each party should offer that a unique vein that makes them GREAT-G-7-number of days for a week.
 
Back
Top Bottom