Natamani kuwa Sniper

Nafikiri mpaka ujiunge jeshi, inategemea na score zako katika mtihani na ulengaji wako.

Jeshi la South Africa kusaidiana na USA walikuwa na shule ya kufundisha snipers sijui kama bado ipo
Lakini ni kwa wazawa tu

Kenya wanao sniper pia kwa kulinda rhinos ambapo wamepewa mafunzo na wababe SAS wa UK

Sina uhakika kama kuna shule Tz zaidi ya jeshini
 
acha
Mimi ni mrefu futi 6.1 nataka nijifunze kung Fu. Nataka niwe natembeza mateke ya fasta ngumi sipigi. Na kuwa sniper napenda maana waliniudhi wale mafala walipoteza risasi kama 30 afu Tundu lisu bado anapiga mluzi
ushetani wewe mwehu
 
Mimi nataka kuwa msoja mpaka leo ndoto yangu haijafa... Sema umri unataka kunikimbia wa kujiunga jkt
 
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa matumizi yako binafsi.
Na aina hii ya silaha zinapatikana kwa matumizi binafc!?
Mzee baba je unajua kupata tageti vizuri japo kwa kutumia manati? "Shabaha kali" ni kipaji cha kuzaliwa nacho jipime kwanza kwa kutumia manati, ukiona upo safi hapo basi jua wewe ni miongoni mwa masniper ambao bado hawajajitanabahi.
 
Zamia Somalia hapo unapewa mafunzo yote.
Ukirudi kama una jicho zuri unaweza kupiga target hata iliyo umbali wa mita 1000.

Tatizo TZ umiliki wa silaha ni mtihani, ingekua kama USA shavu sana.
Maana kuna vitu mtu unataka kufanya ila huna access ya kupata sniper rifle.
Hata smuggling game yetu ni ndogo sana.
Interested
Inshaallah
 
Mimi nataka kuwa msoja mpaka leo ndoto yangu haijafa... Sema umri unataka kunikimbia wa kujiunga jkt
Mimi pia nilihitaji sana, ila mpaka hapa nilipo, nimebaki na tumaini dogo sana!
Inshaallah huenda nikapa zali nikatimiza ndoto yangu hiyo
 
Back
Top Bottom