Natamani kuwa Sniper

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa matumizi yako binafsi.
Na aina hii ya silaha zinapatikana kwa matumizi binafc!?
 
Tafuta chuo cha ujasusi usomee nadhani lazima upate kibali kutoka kwa mamlaka kama unakidhi vigezo
 
Hahahaaa, una akili km yangu!!!!
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa matumizi yako binafsi.
Na aina hii ya silaha zinapatikana kwa matumizi binafc!?
 
Zamia Somalia hapo unapewa mafunzo yote.
Ukirudi kama una jicho zuri unaweza kupiga target hata iliyo umbali wa mita 1000.

Tatizo TZ umiliki wa silaha ni mtihani, ingekua kama USA shavu sana.
Maana kuna vitu mtu unataka kufanya ila huna access ya kupata sniper rifle.
Hata smuggling game yetu ni ndogo sana.
 
Jombaa sema tu unamtafuta nani?
Hahahaha, jamaa nawakubali wanapofanya kazi yao kwa utulivu na uhakika wa shabaha…. Ila ni kweli yupo anayenifanifanya nizidi kuitamani kuijua, laiti ningejua… angeondoka!
 
Zamia Somalia hapo unapewa mafunzo yote.
Ukirudi kama una jicho zuri unaweza kupiga target hata iliyo umbali wa mita 1000.

Tatizo TZ umiliki wa silaha ni mtihani, ingekua kama USA shavu sana.
Maana kuna vitu mtu unataka kufanya ila huna access ya kupata sniper rifle.
Hata smuggling game yetu ni ndogo sana.
kaka profile picture yako nimeipenda aisee😆😆
 
Back
Top Bottom