Natamani kuwa na pesa lakini sioni njia ya kuzipata

Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Sasa kma nyota imefifia sio upake polish
 
Sijawai Fanya biashara ya kuniingizia hata 1000 kwa siku, natamani sana nifanye biashara lakini sioni njia kabisa naona mbele Giza, nafurahi maana najua kesho haiwezi kua kama Leo.
Kama unaona giza mbele, ni kipi kinachokufurahisha?
 
Wewe mkubwa Sasa.
Mwanamke akikupanulia miguu yake ndio gazeti. Lina kurasa mbili. Wewe ukininihii ndio kusoma gazeti kwenyewe, wengine mnanogewa mpaka mnasoma na ulimi.
Wosia wangu kwako Kama unautaka utajiri, usome gazeti Hilo Hilo la mkeo tu Maisha yako yote. Mafanikio utayaona mpaka yakuchoshe.
Iwekee caps lock hii thread
Mkuu nilivosema gazeti moja nikamaanisha ni mwanamke mmoja mfano Amina. Ila nilivotaja majira, mwananchi, nikamaanisha wanawake wengine kama asha, Esther nk
 
Back
Top Bottom